Ni maandamano au ni mapinduzi?

Ni maandamano au ni mapinduzi?

Hii biashara ya kutisha watu au kuogopesha watu ni ya kizamani..ingekua busara mumshauri anaesababisha hii hali.. lkn pili raia wakiandama kwa amani ata hao jwtz hawana cha kufanya zaidi ya kuwalinda na kusikiliza wanchotaka..tumeyaona kila mahali...na wakithubutu risasi the hegue inawasubiri na dunia inaona mkae mkijua hilo, so msipuuze kajipangeni kujibu kero za watu.
Mmmetangazia dunia ni mapinduzi mnajiandaa nayo, silaha nzito nziito zinawahusu ili kuzima mapinduzi haramu.
 
achana naye huyó hao dawa ni kunyooshewa za moto tu si wametangaza mapinduzi inaeleweka maana yake nn mapinduzi wanajitekenya hao
Nasikia vikosi vyote nchini wameshanza kutest mitambo. Target ya kwanza ni Mbowe, Zitto na genge lao. Lazima wajue kuna vyombo vya dola
 
Yani kuna nchi huko zinasubiri tu kinuke uone watavyokuja kujifanya wanasaidia wananchi nadhani mikwara yote itaisha, waombee tu maandamano yasitokee maana yakitokea na wakianza kuua raia ndo utakuwa mwisho wa kijani pale magogoni
 
Mmmetangazia dunia ni mapinduzi mnajiandaa nayo, silaha nzito nziito zinawahusu ili kuzima mapinduzi haramu.
Sahihi kabisa. Tena kwenye mitandao yao wanaandika Tanzania Revolution. Lazima mizinga iwaelekee kwao
 
Yani kuna nchi huko zinasubiri tu kinuke uone watavyokuja kujifanya wanasaidia wananchi nadhani mikwara yote itaisha, waombee tu maandamano yasitokee maana yakitokea na wakianza kuua raia ndo utakuwa mwisho wa kijani pale magogoni
Hahahahahaaaaaaaaa. Wanaoandamana kwa lengo la kupindua siku zote si Raia. Utaona siku hiyo
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Nimefuatilia baadhi ya mitandao ya kijamii hususan Instagram na Telegram kuhusu haya makundi ya watu wanaotamani kuuangusha utawala wa Rais Magufuli. Kwa kiswahili wanasema kuwa hayo ni maandamano ya Amani. Ila kwa Kiingereza wanatamka Tanzania Revolution.

Kwa uelewa wangu, Maandamano tafsiri yake kwa Kiingereza ni Demonstration au Protests. Na Revolution maana yake kwa kiswahili ni Mapinduzi. Kwa uelewa wangu finyu, busara huweza kutumika katika kudeal na maandamano ikiwa ni pamoja na matumizi kiduchu ya nguvu. Ila Mapinduzi hapo lazima ujidhatiti kukabiliana nayo. Hapo silaha za moto na nzito hutumika na ni haki ya vyombo vya dola kutumia nguvu zote ili kulinda himaya dhidi ya maadui wa ndani na nje.

Kingine, Maandamano hudhibitiwa na Jeshi la Polisi. Ila Mapinduzi hapo wanaume wa kazi, JWTZ huingia mzigoni. Hapo silaha zinazotumika ni za moto tu. Hawajafundishwa kutumia TEAR GAS hao.

Kwa hiyo, ni vema wale wanaotamani kuona utawala wa Rais Magufuli unaangushwa wakatafakari upya ni nini hasa wanataka kufanya siku hiyo na nini madhara yake. Ni vema wakaweka wazi je wanataka kuandamana ama wanataka kufanya mapinduzi? Maandamano YES ila MAPINDUZI ni BIG NO. Watu wasije kufumuliwa vichwa wakifanya mapinduzi then wakaanza kulalamika kuwa jeshi la polisi na JWTZ wametumia nguvu ya ziada.
Kwani wewe kwa akili yako unafikiri Misri, Libya, Romania, Ethiopia, Zimbabwe, nk nk hawakuwa na vifaru? Unaongea kama vile hata kusikiliza redio haujawahi!
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Nimefuatilia baadhi ya mitandao ya kijamii hususan Instagram na Telegram kuhusu haya makundi ya watu wanaotamani kuuangusha utawala wa Rais Magufuli. Kwa kiswahili wanasema kuwa hayo ni maandamano ya Amani. Ila kwa Kiingereza wanatamka Tanzania Revolution.

Kwa uelewa wangu, Maandamano tafsiri yake kwa Kiingereza ni Demonstration au Protests. Na Revolution maana yake kwa kiswahili ni Mapinduzi. Kwa uelewa wangu finyu, busara huweza kutumika katika kudeal na maandamano ikiwa ni pamoja na matumizi kiduchu ya nguvu. Ila Mapinduzi hapo lazima ujidhatiti kukabiliana nayo. Hapo silaha za moto na nzito hutumika na ni haki ya vyombo vya dola kutumia nguvu zote ili kulinda himaya dhidi ya maadui wa ndani na nje.

Kingine, Maandamano hudhibitiwa na Jeshi la Polisi. Ila Mapinduzi hapo wanaume wa kazi, JWTZ huingia mzigoni. Hapo silaha zinazotumika ni za moto tu. Hawajafundishwa kutumia TEAR GAS hao.

Kwa hiyo, ni vema wale wanaotamani kuona utawala wa Rais Magufuli unaangushwa wakatafakari upya ni nini hasa wanataka kufanya siku hiyo na nini madhara yake. Ni vema wakaweka wazi je wanataka kuandamana ama wanataka kufanya mapinduzi? Maandamano YES ila MAPINDUZI ni BIG NO. Watu wasije kufumuliwa vichwa wakifanya mapinduzi then wakaanza kulalamika kuwa jeshi la polisi na JWTZ wametumia nguvu ya ziada.
hawa ni watoto mkuu, wanataka kumbip kamanda Sirro.....atawapigia we waache tu
 
Wanachoshindwa kufahamu ni kwamba Rais Magufuli tumemchagua kwa njia ya kidemokrasia na ana muda mfupi madarakani.
Wanachekesha hasa....wacha waendelee kujifariji siku zisonge kwa sababu they are sad people wanaishi kwa matamanio na ndio mana kutwa kucha kujifananisha na nchi za wenzao.
 
Hahahahahaaaaaaaaa. Wanaoandamana kwa lengo la kupindua siku zote si Raia. Utaona siku hiyo
Hahahaha raia huomba kibali cha maandamano.Hawa wametangaza mapinduzi tena wanatolea mifano yatakuwa kama ya Misri, Tunisia na Libya.hahaha halafu eti waachwe nyoooooooo
 
hawa wahuni wanaodanganyana kuandamana dawa yao ni virungu tuuuuuuuuuuuu
 
Mmh nawaona mnavyowaya waya...yaani ccm saivi ni kama mtu ambae haamini kama mtoto aliyebemendwa hatimae kasimama dede tena mbele ya kikao cha kusutwa mama yake.

Anyaway, kwa utashi wangu; maandamano ya tarehe 26 yanaongozwa Upanga wa moto wa Malaika Michael au Roho inayovaaga nchi nzima..yaani I mean watu wote mnafikiria na kuwaza kitu kimoja bila kuambiwa na mtu...mfano hai ni Siafu au Nzige, waanaweza kufyeka shamba la mzee juma wakaliacha la mzee omary...kesho juma atasema karogwa kumbe wala.

Au, nunua kitabu cha Masoud Kipanya huko Insta, kinaitwa nguvu ya Akili...amefafanua vizuri kwamba: Roho ni uwezo wa juu ambao hu-take over akili na mwili pale ambapo akili itashindwa kuongoza mwili, ndio maana kichaa huangalia kulia na kushoto kabla hajavuka barabara au mtoto akiwashwa nepi kwa mkojo analia hadi umuoshe.

So it's not about Mbowe or Magufuli...it's about the spirit that made Tanzanians calm and torelant for over 50 years now awakens...dude limeamshwa.
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Nimefuatilia baadhi ya mitandao ya kijamii hususan Instagram na Telegram kuhusu haya makundi ya watu wanaotamani kuuangusha utawala wa Rais Magufuli. Kwa kiswahili wanasema kuwa hayo ni maandamano ya Amani. Ila kwa Kiingereza wanatamka Tanzania Revolution.

Kwa uelewa wangu, Maandamano tafsiri yake kwa Kiingereza ni Demonstration au Protests. Na Revolution maana yake kwa kiswahili ni Mapinduzi. Kwa uelewa wangu finyu, busara huweza kutumika katika kudeal na maandamano ikiwa ni pamoja na matumizi kiduchu ya nguvu. Ila Mapinduzi hapo lazima ujidhatiti kukabiliana nayo. Hapo silaha za moto na nzito hutumika na ni haki ya vyombo vya dola kutumia nguvu zote ili kulinda himaya dhidi ya maadui wa ndani na nje.

Kingine, Maandamano hudhibitiwa na Jeshi la Polisi. Ila Mapinduzi hapo wanaume wa kazi, JWTZ huingia mzigoni. Hapo silaha zinazotumika ni za moto tu. Hawajafundishwa kutumia TEAR GAS hao.

Kwa hiyo, ni vema wale wanaotamani kuona utawala wa Rais Magufuli unaangushwa wakatafakari upya ni nini hasa wanataka kufanya siku hiyo na nini madhara yake. Ni vema wakaweka wazi je wanataka kuandamana ama wanataka kufanya mapinduzi? Maandamano YES ila MAPINDUZI ni BIG NO. Watu wasije kufumuliwa vichwa wakifanya mapinduzi then wakaanza kulalamika kuwa jeshi la polisi na JWTZ wametumia nguvu ya ziada.

Labda kama watakuwa wanatania, ila endapo watu watakuwa wamedhamilia kweli, ndugu hakuna risasi au jeshi linaloweza kuzuia nguvu ya umma!
By the way mbona Lumumba mmebaha Sana na wakati Magufuli ni rais kipenzi cha watu?
 
[HASHTAG]#lizabon[/HASHTAG]

Kingine, Maandamano hudhibitiwa na Jeshi la Polisi. Ila Mapinduzi hapo wanaume wa kazi, JWTZ huingia mzigoni. Hapo silaha zinazotumika ni za moto tu. Hawajafundishwa kutumia TEAR GAS hao." mwisho wa kunukuu.

Unamaanisha kamanda Siro na vijana wake sio wanaume wa kazi?
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Nimefuatilia baadhi ya mitandao ya kijamii hususan Instagram na Telegram kuhusu haya makundi ya watu wanaotamani kuuangusha utawala wa Rais Magufuli. Kwa kiswahili wanasema kuwa hayo ni maandamano ya Amani. Ila kwa Kiingereza wanatamka Tanzania Revolution.

Kwa uelewa wangu, Maandamano tafsiri yake kwa Kiingereza ni Demonstration au Protests. Na Revolution maana yake kwa kiswahili ni Mapinduzi. Kwa uelewa wangu finyu, busara huweza kutumika katika kudeal na maandamano ikiwa ni pamoja na matumizi kiduchu ya nguvu. Ila Mapinduzi hapo lazima ujidhatiti kukabiliana nayo. Hapo silaha za moto na nzito hutumika na ni haki ya vyombo vya dola kutumia nguvu zote ili kulinda himaya dhidi ya maadui wa ndani na nje.

Kingine, Maandamano hudhibitiwa na Jeshi la Polisi. Ila Mapinduzi hapo wanaume wa kazi, JWTZ huingia mzigoni. Hapo silaha zinazotumika ni za moto tu. Hawajafundishwa kutumia TEAR GAS hao.

Kwa hiyo, ni vema wale wanaotamani kuona utawala wa Rais Magufuli unaangushwa wakatafakari upya ni nini hasa wanataka kufanya siku hiyo na nini madhara yake. Ni vema wakaweka wazi je wanataka kuandamana ama wanataka kufanya mapinduzi? Maandamano YES ila MAPINDUZI ni BIG NO. Watu wasije kufumuliwa vichwa wakifanya mapinduzi then wakaanza kulalamika kuwa jeshi la polisi na JWTZ wametumia nguvu ya ziada.

Zanzibar walifanya mapinduzi na hawakufumuliwa vichwa. Umeandika kama mwoga vile
 
Labda kama watakuwa wanatania, ila endapo watu watakuwa wamedhamilia kweli, ndugu hakuna risasi au jeshi linaloweza kuzuia nguvu ya umma!
By the way mbona Lumumba mmebaha Sana na wakati Magufuli ni rais kipenzi cha watu?

Wewe kajifiche mafichoni mjiandae na hayo mapinduzi, usituletee mifano mfu. Nenda kaulize Syria kama maandamano yalifua dafu mwaka jana pamoja na foreigners kusaidia, iliwabidi kuomba pooo wenyewe.Jaribuni kwa kujipa moyo na mifano yenu isiyotekelezeka hapa
 
acha upuuzi ww gamba kipi hujaelewa kuhusu maandamano hayo? lengo ni kumtoa dikteta uchwara na NEC yake, nchi itaongozwa kwa muda na Makamu wa raisi mama samia
ndoto...tukutane hapa baada ya maandamano sijui mapinduzi yenu FEKI.

mnadhani ni kitu kidogo kama mnavyotoa mishuzi kwenye matumbo yenu????
 
Mimi nakumbuka kipindi niko chipukizi tulikuwa tunaimba..

"mamaaa naahidi mbele ya chama,mapinduzi ni kulinda mpaka kufa",,

sasa hayo mapinduzi mnayosema ndo haya tuliokuwa tunaimba kuyalinda ama ni aina nyingine ya mapinduzi?
 
Back
Top Bottom