Ni maandamano au ni mapinduzi?

Ni maandamano au ni mapinduzi?

Kama hao JWTZ na police hawana ndugu ambao wanapata shida na kuonewa kama watanzania wengine waambie kabisa tukutane 26 April na bunduki zao cause wote tunaamini we only live once mungu ndo mpangaji kama walishindwa kuutoa uhai wa LISSU basi wajue na haya maandamano ya amani hawatawezi kuyazuia
[HASHTAG]#tanzaniarevolution[/HASHTAG]
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Nimefuatilia baadhi ya mitandao ya kijamii hususan Instagram na Telegram kuhusu haya makundi ya watu wanaotamani kuuangusha utawala wa Rais Magufuli. Kwa kiswahili wanasema kuwa hayo ni maandamano ya Amani. Ila kwa Kiingereza wanatamka Tanzania Revolution.

Kwa uelewa wangu, Maandamano tafsiri yake kwa Kiingereza ni Demonstration au Protests. Na Revolution maana yake kwa kiswahili ni Mapinduzi. Kwa uelewa wangu finyu, busara huweza kutumika katika kudeal na maandamano ikiwa ni pamoja na matumizi kiduchu ya nguvu. Ila Mapinduzi hapo lazima ujidhatiti kukabiliana nayo. Hapo silaha za moto na nzito hutumika na ni haki ya vyombo vya dola kutumia nguvu zote ili kulinda himaya dhidi ya maadui wa ndani na nje.

Kingine, Maandamano hudhibitiwa na Jeshi la Polisi. Ila Mapinduzi hapo wanaume wa kazi, JWTZ huingia mzigoni. Hapo silaha zinazotumika ni za moto tu. Hawajafundishwa kutumia TEAR GAS hao.

Kwa hiyo, ni vema wale wanaotamani kuona utawala wa Rais Magufuli unaangushwa wakatafakari upya ni nini hasa wanataka kufanya siku hiyo na nini madhara yake. Ni vema wakaweka wazi je wanataka kuandamana ama wanataka kufanya mapinduzi? Maandamano YES ila MAPINDUZI ni BIG NO. Watu wasije kufumuliwa vichwa wakifanya mapinduzi then wakaanza kulalamika kuwa jeshi la polisi na JWTZ wametumia nguvu ya ziada.
Mapinduzi ya wananchi usifananishe na ya vikosi (waasi) au wanamgambo wenye silaha wanaopinga serikali mkuu.

Mfano mzuri ni maandamano yaliyomwondoa Mubarak madarakani Misri. Je wanajeshi wa Misri wangetumia silaha za kijeshi kuwapiga wananchi?...
 
Hivi we dogo huwa unafikiri kwa kutumia tundu lipi ktk mwili wako? Kimsingi haya unayoandika hayawezi kutoka kwa binadamu anayefikiri kwa kutumia ubongo wake kisawa sawa, nahisi unafikiri kwa kutumia lile tundu linalotoa uchafu.. Tukutane 26/4
Keyboard Warrior. We jiandae tu tarehe 26..Wao siku siku tatu kabla ya tarehe 26 watapita kukuonyesha mafunzo yao. Nina uhakika itakuvunja morali tarehe 26 utajifungia ndani😀😀😀😀😀. Watawatembeza wale wapasua tofari wakiwa vifua wazi watakimbia ile ya kuruka ruka wanazunguka Dar nzima huku wanaimbaa "Komandooo..Komandooo Komandoo"😀😀😀😀. Ikifika Tarehe 26 utakuwa unapost humu jamii forums ukiwa mvunguni na si barabarani kama unavyotaka kutuaminisha sasa hivi teh teh
 
Hahahahahahaaaaaaa. Hapo mmeeleweka. Siku hiyo wanaume wa Kazi watakuwa na zana zote halali. subirini mkufilie mbali wakati huyo anayewahamasisha ananyonya koni huko majuu
Msumbiji tumezika watanzania chungu nzima wakati huo nyerere yupo magogoni tu anakula kuku au alienda vitani naomba usaidizi
 
Maandamano ya kweli hayahitaji mtu awaambie. Hapo ndipo mlipofeli. Yaani hadi Mange awaambie ndo muandamane! Kweli CHADEMA mmefilisika

Acha kuongea utoto dogo, hakuna maandamano yanayozuka toka mbiguni bila watu kuweka ushawishi wao. Watu hufuata baada ya kuona hoja za msingi za kuandamania. Hata mvua hunyesha baada ya mawingu kukusanyika.
 
Mnyarwanda lazima arudi kwao. Hizo chuki zao TZ sio mahala pake.
Hakuna maandamano ya amani yenye lengo la Revolution. Nakataa. Polisi na JWTZ msipumbazike na hii hadaa ya wanyonya koni. Jiandaeni kisawasawa kutumia silaha zote
 
aiji.jpg
 
Uoga ni dhambi siwezi kuwa muoga napodai haki yangu na ntapambana mpaka mambo yawe sawia
[HASHTAG]#tanzaniarevolution[/HASHTAG]
 
Sijamtisha mtu bali nimeeleza uhalisia. Fanyeni hayo mapinduzi dhen muone cha mtema kuni
Hahahahahahaaaaaaa. Hapo mmeeleweka. Siku hiyo wanaume wa Kazi watakuwa na zana zote halali. subirini mkufilie mbali wakati huyo anayewahamasisha ananyonya koni huko majuu
NI WAPI SILAHA AU JESHI LILISHINDA PALE UMMA UNAPOAAMUA .TZ KUNA SILAHA NA WELEDI KULIKO MISRI NA TUNISIA. tuombe mungu aepushe mbali umwagaji wa damu lkn kujitapa eti wazee wa kaz jeshi ni mawazo mfu.
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Nimefuatilia baadhi ya mitandao ya kijamii hususan Instagram na Telegram kuhusu haya makundi ya watu wanaotamani kuuangusha utawala wa Rais Magufuli. Kwa kiswahili wanasema kuwa hayo ni maandamano ya Amani. Ila kwa Kiingereza wanatamka Tanzania Revolution
.
Hakuna cha maandamano bosi. Saikolojia ya hawa Keyboard warrior inajulikana. Ikipigwa drill moja tu siku tatu kabla ya tarehe yao. Hakuna atayetoka hata kwenye kibaraza cha kwake😀😀😀😀😀😀
 
Hakuna maandamano ya amani yenye lengo la Revolution. Nakataa. Polisi na JWTZ msipumbazike na hii hadaa ya wanyonya koni. Jiandaeni kisawasawa kutumia silaha zote
.. jeshi na polisi wanaongozwa na sheria. Wananchi wakiamua kutenda, jeshi ni la wananchi kwa hiyo linatakiwa kuwalinda, usiku na mchana... ni mwanaume gani uliyegubikwa na woga kama demu?
 
Tatizo wengi humu hata hawaelewi wana shabikia nini. Lkn siwezi kuwashangaa coz washazoe kuwaza kwa kutumia akili za wenzao.
 
Mcheche tayari; joto limeanza kupanda tutasikia tafasiri nyingi za maana halisi ya maandamano; wengine watasema uasi na wengine watafika mbali na kusema ni uhaini.
 
Wabongo nawajua sana!

Hakuna wa kutia Kwato barabarani

Maandamano yatakuwa kwenye Page ya Mange ya Unstagram pekee na page za Mashabiki wake
Mitaani tutaendelea na Mapumziko ya Muungano
 
Acha umburula wewe.. jeshi na polisi wanaongozwa na sheria. Wananchi wakiamua kutenda, jeshi ni la wananchi kwa hiyo linatakiwa kuwalinda, usiku na mchana... ni mwanaume gani uliyegubikwa na woga kama demu? Ki/aza mkubwa wewe

hahahaha kuwalinda wanaopindua serikali halali, you are not serious guy.Wewe ingia battle si mmedanganyana na bi dada wenu
 
Kama umezaliwa na fikra kwamba CCM itatawala milele Tanzania ndio njia pekee ya kupinga mabadiliko makubwa ya kisiasa yanayokuja nchini.
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Nimefuatilia baadhi ya mitandao ya kijamii hususan Instagram na Telegram kuhusu haya makundi ya watu wanaotamani kuuangusha utawala wa Rais Magufuli. Kwa kiswahili wanasema kuwa hayo ni maandamano ya Amani. Ila kwa Kiingereza wanatamka Tanzania Revolution.

Kwa uelewa wangu, Maandamano tafsiri yake kwa Kiingereza ni Demonstration au Protests. Na Revolution maana yake kwa kiswahili ni Mapinduzi. Kwa uelewa wangu finyu, busara huweza kutumika katika kudeal na maandamano ikiwa ni pamoja na matumizi kiduchu ya nguvu. Ila Mapinduzi hapo lazima ujidhatiti kukabiliana nayo. Hapo silaha za moto na nzito hutumika na ni haki ya vyombo vya dola kutumia nguvu zote ili kulinda himaya dhidi ya maadui wa ndani na nje.

Kingine, Maandamano hudhibitiwa na Jeshi la Polisi. Ila Mapinduzi hapo wanaume wa kazi, JWTZ huingia mzigoni. Hapo silaha zinazotumika ni za moto tu. Hawajafundishwa kutumia TEAR GAS hao.

Kwa hiyo, ni vema wale wanaotamani kuona utawala wa Rais Magufuli unaangushwa wakatafakari upya ni nini hasa wanataka kufanya siku hiyo na nini madhara yake. Ni vema wakaweka wazi je wanataka kuandamana ama wanataka kufanya mapinduzi? Maandamano YES ila MAPINDUZI ni BIG NO. Watu wasije kufumuliwa vichwa wakifanya mapinduzi then wakaanza kulalamika kuwa jeshi la polisi na JWTZ wametumia nguvu ya ziada.
Mimi nilifikiri namna bora na sahihi ya kukabiliana na maandamano ni kufahamu madai yao na kuyafanyia kazi hilo la nguvu ndogo and nguvu kubwa halitatui kilichowafanya waandamane.

Mh Raisi aagize wakuu wote wa mikoa (kama ni kweli) wapokee hayo maandamano na kuchukua malalamiko yao na kuyapeleka serikali (Kwa Mh. Raisi) ili yale ya kweli yafanyiwe kazi
 
Back
Top Bottom