Ni maamuzi gani mazuri ya kuchukua ukimjua mtu anayetembea na mkeo?

Kila jibu litakatokea hapa ni sahihi,


Lakini kwa Mimi nampiga faini ndefu kisha nahama na mke wangu mkoa wilaya tarafa kata kijiji au nchi kama nitaweza, ila nitahama na mke wangu, usiniulize nitahama Mara ngapi :D :D :D

MTO huvukwa ukifikiwa.
Ujue huyo jamaa alitoka mikoani pia. Ni mwenyeji pia huko uendako
 
Msusuie mshkaji huyo mwanamke mpumbavu nenda kaanze maisha mengine ukifikiria maamuzi au ukichukua maamuzi unaweza ukaua.

Hajinyongi mtu hapa.
 
Mtafute mke wake kama ameoa tembea naye nakama hajaoa tembea na demu wake hapo akijua atakuachia mke
 
Usimwambie chochote halafu akiomba hela ya matumizi mpe sijui hela ya nguo za watoto mpe tu halafu akija kujiongeza wewe utakuwa out of the box. Mimi hiyo nilishawahi kusikia kwa jamaa alimshika ugoni kuna jamaa mmoja alikuwa anakula vitu kwa mkewe mchizi akaamuacha wala hakufanya lolote. Mwanamke alikuwa akiomba hela ya matumizi anapewa kama kawaida yaani kila kitu anapata and the rest!! Mwanamke alitimua mita mia na hiyo ni dangerous weapon na ni wachache wanaweza kufanya.
 
Namsamehe namwambia sio wewe ni shetani tuu alikupitia zen tunaanza kusihi kama mwanzo..

Na yule jamaa na mwambia nimekusamehe maana hujui ulitendalo
 
kumuacha mke, maana ndo chanzo cha matatizo yote.

kama huyo bwana tunafahamiana na anafahamu huyo ni mke wangu sitamwacha bure ntampa stahiki yake pia na mke nafukuza
Je unajua kama unaweza kuwa chanzo ni wewe
 
Uamuzi ambao ni mashuhuri ni ule ambao mwizi anakamatwa na kuliwa tigo mande huku wakimpiga picha kuna jamaa Mwanza yalimkuta ilibidi ahame mwanza..
Kuna tukio lingine ilitokeaga dar jamaa alikuwa an anamla mke wa mtu na alikuwa anamtumia mpambe kumwitia mke wa jamaa......mwenye mme kuna Siku alimkamata mpambe akamchinja na akachukua kichwa chake akaenda kukitupa kwa yule mwizi wa jamaa,jamaa kesho yake alikimbiaaaa
Mme alikamatwa alikaaa ndani miaka 6 akatoka
Kuna watu wakigongewa wake zap wana maamuzi ya hatari

Ova
Haya maamuzi yanataka uwe umevuta bangi gunia moja peke yako kwa siku mbili
 
Huku kuna njemba moja mbavu nene ilimfuma mkewe na mzee mmoja basi ilimuozesha huyo mwanamke kwa nguvu na kumwambia

Kuanzia leo huyu ni mke wako nakuozesha na sitaki kusikia analalamika shida yoyote ktk maisha yake,na hawa watoto wangu kuanzia leo utawahudumia kwa kila kitu na nisisikie wana shida yoyote maana nikiletewa malalamiko yoyote kuwa wana shida yoyote basi kichwa chako halali yangu.Mzee hadi leo anahudumia familia km maelekezo yalivyo na miaka kibao imeshapita na maisha yanasonga.
 
Kuna muumini Mmoja alienda kwa Mtume Muhammad kutaka ushauri baada ya mwana-kijiji mwenzio kumkazia mkewe! Mtume alimshauri amuue mbaya wake! Jamaa akamjibu mtume kwamba Mungu amezuia Usiue! Mtume akamwambia kama ndivyo basi hama kijiji! Njemba anamjibu mtume kwamba haitawezekana pale kijijini kuna Maslahi yangu sanaà! Mtume akamshauri tena kwamba mpe Talaka! Njemba akamjibu Mtume kwamba mke wangu bado nampenda sana! Mtume akamwambia sina kingine wee nenda tu! Njemba akaona aende kwa seydna Omary ili apate ushauri! Akamkuta akampa kisa kizima na jinsi Mtume alivyo MSHAURI! Omary akamwambia hilo tatizo dogo sana ngoja nikupe darsa....akiingia ndani akatoka na jambia lake lililo andikwa Hakuna Mungu illaha Allah, pigo moja likasembua kichwa huku kinabiringika na kupiga kelele Omary umeniua, Omary umeniua...kazi kwako bro Asante
kwa hadithi yako ni kuwa Mtume alikuwa anaotea majibu i mean hana jibu sahihi?
 
Back
Top Bottom