mndemeimran
Senior Member
- May 7, 2017
- 111
- 71
Unampelekea Cassava.. kufa kufaaana mwamba
Hapo Ni kumtafuta tu uyo mwenye kutembea na Mkeo kisha kukaanae chini kumueleza kwamba anakosea akifanyacho pia Kumtaka ahachane na uyo Mke wako (Ndoa ngumu) kwaiyo lazima kuvumilianaNimewazA tu kwa sauti.
Kama utamjua mwanaume anayetembea na mkeo.
Ni yapi maamuzi mazuri baina ya hawa watu wawili.
Naombeni ushauri tu.
Hakuna cha Bangi wala pombe mkuu...Haya maamuzi yanataka uwe umevuta bangi gunia moja peke yako kwa siku mbili
Kill them allKill them
No question asked no hands raised no exception. Dry dumpNo brainer. You dump her right then and there!
Nope sio kesi zote. Wake wengine ni wahuni tokea huko nyuma. So alificha makucha ili umuoe lakin baadae sasa baada ya kuoa ndio akaonyesha makucha yake sasa.Ukiona mkeo anachepuka ujue na wewe ulianza kuchepuka,,,so kuwa tu mpole ubadilike wewe kwanza
Ishu sio kuacha bikra wala kuoa bikra. Wanawake wengi sasa hiv hawana hiyo bikra, so kama ni ishu ya usaliti na ww uki play part yako kam mume ukafanya kila kitu na bado akakusaliti basi piga chini. Maana huyo hatoridhika na ww hata umsamehe mara ngapi.Mkuu utaacha wangapi. Isitoshe ukiachana na huyo unaoa Tena mke aliye zini na watu wengine (I mean sio bikira ). Jitahidi usijue michepuko ya mkeo utabaki salama. Wala usijihusishe kukomoana na mkeo kuhusu michepuko.
Hii kitu nasikia ni mbaya sana kwa mwanamke coz huwa inawaumiza sana? Ni kweli?Unampa ukweli mke wako.
Ukimaliza kumpa ukweli,usiongee nae chochote.
Zaidi ya kuishi maisha ya kawaida.
Hii kiboko ya uchafu,Huku kuna njemba moja mbavu nene ilimfuma mkewe na mzee mmoja basi ilimuozesha huyo mwanamke kwa nguvu na kumwambia
Kuanzia leo huyu ni mke wako nakuozesha na sitaki kusikia analalamika shida yoyote ktk maisha yake,na hawa watoto wangu kuanzia leo utawahudumia kwa kila kitu na nisisikie wana shida yoyote maana nikiletewa malalamiko yoyote kuwa wana shida yoyote basi kichwa chako halali yangu.Mzee hadi leo anahudumia familia km maelekezo yalivyo na miaka kibao imeshapita na maisha yanasonga.
Ni kuchana tu huyo malaya, full stop.NimewazA tu kwa sauti.
Kama utamjua mwanaume anayetembea na mkeo.
Ni yapi maamuzi mazuri baina ya hawa watu wawili.
Naombeni ushauri tu.
Ni kumpiga mawe hadi afeNimewazA tu kwa sauti.
Kama utamjua mwanaume anayetembea na mkeo.
Ni yapi maamuzi mazuri baina ya hawa watu wawili.
Naombeni ushauri tu.