Ni maamuzi gani mazuri ya kuchukua ukimjua mtu anayetembea na mkeo?

unabeba mizigo ya mkeo unampelekea nyumbani kwake pamoja na mkeo.
halafu unaanza kuwa mchepuko wa mkeo na yule mume mwenzio anakua mumewe.
 
Maamuzi mazuri ni kujifanya hujui halafu siku moja unamwambia mkeo twende matembezi na kwenda naye moja kwa moja kwa jamaa yake na kumkabidhi kwamba kuanzia hapo waendelee na mapenzi yao wewe sasa basi!
 
Kwanza nikuwawekea tego,upate solid evidence umpige chini huyo baladhuli shetani mtu, pia usisahau majitu kama manne hvi kwa ajili ya shughuli maalumu pale unapowanasa
 
Mke sio ndugu yako na kama ulishazaa naye watoto basi kazi yake aliyokuja kukufanyia imekamilika unatimua unale watoto wako...

huku ukiendelea kugegeda migegedo kibao iliyopo mjini huku ukizingatia kanuni za mchezaji bora yaani soski na guards za ugoko lazma uvae
 
Mkuu utaacha wangapi. Isitoshe ukiachana na huyo unaoa Tena mke aliye zini na watu wengine (I mean sio bikira ). Jitahidi usijue michepuko ya mkeo utabaki salama. Wala usijihusishe kukomoana na mkeo kuhusu michepuko.
Mkeo ndio anatakiwa kukufanya wewe usijue michepuko yake ila sio we et ujitaidi usijue michepuko ya mkeo
mm nikiisi mke ananisaliti ntachimba ad kizimu ad nimdake!

AF swala LA kusema ntaacha wangapi hzo ni fikra duni maana amna maali pamesema ukiachana na mwanamke lazima uoe tens

Na ata nikioa nae akazingua napiga chini vile vile.
 
NimewazA tu kwa sauti.
Kama utamjua mwanaume anayetembea na mkeo.
Ni yapi maamuzi mazuri baina ya hawa watu wawili.

Naombeni ushauri tu.
Mkuu mtusamehe na sisi tunakua tumefata radha nyingine uko nje tena vijana wako vzuri Balaa coz Ata sisi tunaumia tukiwafumania nyie uko nje.....
 
Unamfuata, unamshukuru kwa kazi nzuri ya kukusaidia kazi uliyoshindwa kuifanya.

Hii pia ni dawa nzuri kwani utawaacha yeye na huyo mwanamke wakiwa hawajui "what is the next step", yaani utawamaliza au vipi..

Mwanamke ni wazi atakimbia mwenyewe ila jamaa ataishi ile twasema "looking over his shoulders".
 
Muite huyo mwanaume muonye mbele ya mkeo...

Ukiona wameendelea tena mpeleke mke kwa huyo jamaa ila kwa kuwataarifu wazazi pande zote mbili.
 
Kama mkeo sura mbaya mwache chukua chombo kipya kizuri endelea kula maisha, kama mkeo mrembo sana Kill them hakimu atakuelewa tu, hata ukifungwa maisha utakua na amani....
 
Kama unampenda mkeo, mtafute jamaa mkanye pia na mkeo mkanye, ila usimlaumu sana mwanamke mbinu za wanaume kuwapata wanawake nadhani unazijua.
 
Back
Top Bottom