Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,815
- 218,478
Tunaishukuru serikali kwa kumaliza utata wa mgogoro wa makinikia , ambao ulisababisha makontena kukamatwa bandarini na kuzuiwa kusafirishwa .
Sasa kwa vile makubaliano yamekamilika na Tanzania imejinyakulia ushindi mnono ni vema basi makontena yale yakaondolewa ili kuacha nafasi kwa ajili ya mambo mengine ya kimaendeleo .
Kutokana na kuongezeka kwa mizigo katika bandari ya DSM ni vema nafasi ikatumika vizuri .