Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 34,670
- 40,917
Wachaga na wameru sio watu wale wale, tamaduni zao zinatofautiana kidogo ingawa kwa lugha kimachame na kimeru hakipo mbali sana, ( ina maana hawa wanauwezo wa kusikilizana kwa kiasi flani) Ila Mirisho ni mmeru! Huyo mmeru anayejiita mmasai, atajijua mwenyewe, nampa hongera sana kwa kua moja ya binadamu waliofanikiwa kubadili makabila yao.I meant ni Mkaskazi, Wachagga na Wammeru ni wale wale, kama yule Mmeru anayejiita Mmasai.
Pasco