Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

experience pekee niliyoipata ni depo ya jkt, ya jua kali (Kanembwa JKT) na upepo wa kuleta usingizi japo hakuna muda huo...
Ila ile ya mvua wazee, siijui ladha yake ila nimeshuhudia kuruti walivyokuwa wanateseka pale Msata
Alooooh Kwa afande maroda 😂😂
 
Jamooon kwanza nauliza ivi jwtz ndo kimya au walishaitaga watu maana sijaona pdf la kuita watu
 
Back
Top Bottom