Majina ya kuitwa kwenye usaili TAKUKURU yametoka

Kila la heri nyote
 

Attachments

  • Investigators.pdf
    1.8 MB · Views: 5
  • Assistant-Investigator.pdf
    562.8 KB · Views: 7
Ni usaili wa mandishi. Yaani mnapewa km mtihani mnafanya kisha mnakusanya wanasahisha, watakaofanya vzr wanaitwa usaili wa mdomo (oral interview).
Hii mkuu si kama utumishi ile mitihani yao . Mfumo ni ule ule au ndio zina mpangilio tofauti.
Maana utumishi hutowa maswali ambayo yanatokana na kazi ya kada uliomba.
Sasa huku test ta takukuru ndio hivyo hivyo au utofauti wao ni upi.
 
Amna jamaa anauchungu na nauli ya huyo dogo sababu anajiuliza kwanini mtu anaenda kufanya kitu hakijui
Kama unajua kuhusu hizi test za pccb ni swala la kumuelimisha mtu kirahisi tu.
Ila nakuona wewe mkuu una swaga kama za wa mama wa uswahilini ambao awana kazi zaidi ya kukaa vibarazani na kukejeli maisha ya watu.
 
Back
Top Bottom