Majina ya walioitwa kwenye usaili TAA na TASAC

KandiliYetu

New Member
May 21, 2019
1
2
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Tanzania Airports Authority (TAA) na Tanzania Shipping Agencies Corporation (TASAC) anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi kuwa usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 08 hadi 14 Juni, 2019 na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
KUCHEKI MAJINA NA MAELEZO DOWNLOAD PDF FILE Attached.
Source: Website ya AjiraLeo Tanzania
 

Attachments

  • AJIRALEO.COM_TANGAZO-LA-USAILI-TAA-30-05-2019.pdf
    6.4 MB · Views: 112
Back
Top Bottom