Majina ya kuitwa kwenye usaili Wizara ya Ardhi

joshydama

JF-Expert Member
May 10, 2016
4,623
5,037
Habari zenu WanaJF?

Naomba aliyefanikiwa kuona majina ya kuitwa kwenye usaili Wizara ya Ardhi Nyummba na Maendeleo ya Makazi aweke link humu ndani ili ambao hatukuyapata tuweze kuyapata.

Ahsanteni sana.
 
Hayo hapo mkuu....
IMG-20180522-WA0005.jpg
IMG-20180522-WA0004.jpg
IMG-20180522-WA0003.jpg
IMG-20180522-WA0002.jpg
IMG-20180522-WA0001.jpg
 
hahahahahahahah.... deadline ya nini wakuu wakati hii kazi ilitangazwa muda mrefu kwa ajiri ya ajira mkoa wa morogoro ktk wilaya fulani huko na nikazi ya mkataba... nazani ili tangazwa kwa ajiri ya matown planners na surveyors etc... kama sija kosea
 
Back
Top Bottom