Ni kweli Wilson Mukama anaandaliwa kumpokea Makamba?

Mukama akiwa Katibu Mkuu wa ccm wapinzani wameliwa. Jamaa ni very professional kwenye masuala ya siasa. Ni kada mzima sana katika siasa za nchi hii tangu enzi za akina Nyerere na Kawawa. Inasemekana ni miongoni mwa wajumbe muhimu wa kamati iliyopiga kambi zanzibara kuandaa ilani ya uchaguzi ya ccm ya 2010.

JF tujikumbushe CHADEMA VS CCM kwa kuangalia uwezo na mvuto toka hizi clips: Clip ya kwanza Naibu Katibu Mkuu John Mnyika(MB) na clip ya pili ya video ya Kada wa CCM Wilson Mukama ambaye 'tetesi' zinasema ndiyo lulu ya CCM a.k.a katibu mkuu mtarajiwa wa CCM
John Myika:


Wilson Mkama:
 
Last edited by a moderator:
Huyu hapa....ndio Katibu Mkuu mpya ajaye

kibonde.jpg

Hiyo ni CV yake au ni sura yake?!!
 
kwa hali halisi inayoendelea kwasasa katika chama cha ccm.... imetanabaishwa ya kuwa huenda katibu mkuu wa chama hicho akawa bwana mkama, ambye kwasasa ni m/kiti wa makampuni kama saba.....
 
Huyu Mzee can be even worse than Makamba.Hawezi kukisaidia sana CCM kwa hapa kilipofikia.Niliona interview yake mahali fulani,yuko rambling and overly verbose!
 
projo unazo wewe........ utake usitake sibadili kauli yangu mh mkama huenda akawa katibu mkuu wenu......
 
Huyu Mzee can be even worse than Makamba.Hawezi kukisaidia sana CCM kwa hapa kilipofikia.Niliona interview yake mahali fulani,yuko rambling and overly verbose!

ccm ndiyo mwisho wa fikra zao wanadhani atakuwa bora kumbe anaenda kuboronga.......
 
Angalia Akili yako na uwezo wako kabla ya kuleta hoja humu ndani.

kama unaona wewe unauwezo wa kufikri zaidi yangu na nilichokiandika humu hakina maana usinge comment.... kwakuwa umecomment wewe ndiyo uwezo wako wa kufikri hauhitjiki humu....
 
Wazee,
Miongoni mwa hazina kubwa ya ccm ni Bw. Wilson Mukama. Huyu jamaa ni kifaa na hivi karibuni ametumika sana kujaribu kufunikafunika uchafu wa ccm na serikali yake. Inawezekana jk akamteua kuwa Katibu Mkuu wake.

Huyu bwana ni kada mzuri na kama hana makundi anaweza kutuliza vumbi ndani ya CCM. Bado tunangoja yaletwe mafaili yake hapa JF, tuweze kumwelewa vizuri kada huyu.
 
Katibu mkuu awe Batilda Buriani au Sarah Msafiri.............lol, naona mnataja wanaume tu????nimeona nami nipendekeze,najua si suala la jinsia but si vibaya!:smile-big:

I thought ni suala la uwezo zaidi kuliko gender! Ila Kama wanaweza poa...
 
Mwenye kuweza kuvivaa viatu vya makamba na anayeweza kuropoka ni Sophia Simba. Apewe huyu ili tuendeleze mageuzi ya kweli ya kuiondoa CCM madarakani.
 
Back
Top Bottom