Ni kweli Wilson Mukama anaandaliwa kumpokea Makamba?

Huyu bwana ni kada mzuri na kama hana makundi anaweza kutuliza vumbi ndani ya CCM. Bado tunangoja yaletwe mafaili yake hapa JF, tuweze kumwelewa vizuri kada huyu.
Whoever will come the party is rotten ni sawa na kukaanga mayai mabovu ukitegemea harufu itakwisha.
 
Yoyote yule awe katibu ila ukweli kuwa CCM imechafuka na sasa inahitajika tiba na uwezi kujenga mfumo Imara CCM bila ya kuwa na mfumo Imara nje yake
 
Wazee,
Miongoni mwa hazina kubwa ya ccm ni Bw. Wilson Mukama. Huyu jamaa ni kifaa na hivi karibuni ametumika sana kujaribu kufunikafunika uchafu wa ccm na serikali yake. Inawezekana jk akamteua kuwa Katibu Mkuu wake.

kama hizo ndizo sifa zake basi hafai kabisa kabisa kwani uzowefu wake wa kuhifadhi na kufunika machafu ndio uliomfanya leo hii atunukiwe wadhifa huo,kwa mana hiyo mzee ana (website ya uongo)
 
Tunahitaji vyama makini. Vinavyoumizwa na matatizo ya wananchi. Vyama vilivyotayari kupingana kwa hoja jadidi zizojaa taaluma huku zikiongozwa kwa hekima na busara. Hapo hapo, wapatikane viongozi wa kuyafanya hayo. CCM hawakutaka kusubiri uchaguzi wa chama chao 2012. Sasa ni wakati madhubuti kutenda kila linalowezekana. I am watching.
 
Duuuuuu!
Huu ulikuwa utabiri au ulidokezewa na huyu jamaa?

Lakini sasa CCM wajiandae maana jamaa an papala ni hakuna! Ndo maana aliwahi kuwajibu wana harakati wa kiisalmu wa pale Dar eti; Ninyi na kitabu chenu mutainana sana! Akimaanisha korani tukufu.
 
Dear friends,this very guy is really an inner cycle item in MAFISADI...had been grown up by that MUZEE who change the religion after knowing the test of fweza,and as a rewards to that MUZEE he gave him the PARKING LOTS DEAL AND UBUNGO BUS STAND.....Friend don't expect much from this very guy......WADANGANYIKA....MUAMKE..
 
hii nafasi ilikuwa apewe Shitambala basi tu

Shitambala alikuwa na taarifa za ki-intelijensia kuhusu haya mabadiliko... akajua kuna nafasi ya kazi CCM. Sasa atatumika kama ile kitu inatengenezwa kama puto kwa shughuli za kumkosea mungu... Mwaka huu analo!
 
Back
Top Bottom