Kirokonya
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 2,280
- 7,563
Wa kule utawakuta supermarket. Hawazururi hovyo kama wa hapa!Hivi hata ulaya pia kuna bata..nilijua wapo Africa tu
Wa kule utawakuta supermarket. Hawazururi hovyo kama wa hapa!Hivi hata ulaya pia kuna bata..nilijua wapo Africa tu
ha ha ha ha bata watu au bata ndege......haha ha am just sayingWa kule utawakuta supermarket. Hawazururi hovyo kama wa hapa!
Haya ni mawazo yako kabisa ? hahah job true trueMkisikia kazi huko hata ya kuosha maiti mnishtue mana hazitishi kama hizi zetu
.. ..hela 1 ya huku ni sawa na mara 3000 bongo! Who is better now?
Brooklyn, Queens, Manhattan, Staten,Uptown, what now?! Let's make it happen!!
New York MOFOs, if you can make it here, you can make it anywhere
We still here! And we buildin' four more new towers! Mofos.
Kwa Mujibu wa Tajiri Diddy inaonyesha Maisha ya Majuu ni Tight ndio maana Le mutuz alikimbia New York,Diddy amesema kama unaweza kutusua ukiwa new york basi unaweza kutusua sehemu yeyote.
Tafsiri ya maisha ya pale sio tight ina maana ukienda mtaani unaokota hela? Au ukipita mtaani kuna watu/wasamalia wanagawa pesa? Au kuna vituo vya kugawa misaada/fedha na mambo yanayofanana na hayo? au Ni easy kupata kazi au mishahara/ujira ni mkubwa? Maisha sio tight maana yake ni nini Tachez???Mwaka 2012 wote nilikua quens pale, maisha sio tight kama wengi wanavyosema
Hahaha ndagha kikolo hakika siri ya maisha mazuri ni kujituma na kufanya kaziMma po umesemapo vizuri gwamyitu...FACT... maisha mazuri hayaji kwa kubeti mzuka deile.Asante ndugu
Ni wachache tutakuelewa. Hili ndio suluhisho pekee. Ukitaka cha uvunguni shurti uiname.Hakuna pahali ama Nchi yeyote enye maisha mazuri pasipo kufanya kazi, maisha mazuri ni kujituma kufanya kazi tu na si vinginevyo, tofauti iliyopo abroad mfano ulaya ni kipato kwamba mtu akiwa mwenye kujituma basi anaweza kufanya kazi sehemu zaidi ya moja na kama ni mtulivu anaweza ku make.
Shukrani sana mkuu kwa appreciation yako. Tuendelee kusaidiana mawazo kama vijana ili kuepukana na mentality cramming kwamba yuropu ndiyo maisha easy hii ndiyo iliyotupa kudhani kila Mzungu ana pesa sawa yaweza kuwa hivyo lakini haina Maana kwamba ana mashine ya kufyatulia noti nyumbani kwake isipokuwa amewekeza muda, akili na nguvu katika kujituma kufanya kaziNi wachache tutakuelewa. Hili ndio suluhisho pekee. Ukitaka cha uvunguni shurti uiname.
Ujira wao je?Kazi zao kuu;
1. Usafi wa maeneo kama supermarkets, hospitals, gyms etc
2. Care assistance
3. Wauzaji madukani (waarab watanzania)
4. Wabeba maboksi
5. Wasambaza magazeti
6. Wazoa taka taka ktk yale magari ya takataka
7. Etc
Kwa hiyo kazi ni rahisi kupata ukiwa kule eeh
Unajua kurembuaaa...Ndio mimi kabisa siwekagi avata za watu,kwanini mkuu
Labda vijana wa ufipa....siyo wote!wenzenu tunafanya kazi nyinyi mpo busy na mambo ya kijinga tu!keyboard warriorsUmeongozwa na hasira pia chuki kwa walioko huko kazi ni kazi tu hata bongo wazibua vyoo wapo na wanapata riziki zao kwa kazi hiyo wala Uhasibu au kazi yako U Dr haiwasaidii, kuna vijana Tz hapa wanashindia kipande cha kashata moja na kajikombe ka kahawa its all about life kaka then penda kujenga hoja ama kutoa mawazo ambayo siyo weak kiasi hiki