Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
- Thread starter
- #21
ha ha ha huendaKuzbua vyoo kule naisi huwez kuta bei sawa na hapa bongo Mara buku 5 au saba, waacheni waende tu
ha ha ha huendaKuzbua vyoo kule naisi huwez kuta bei sawa na hapa bongo Mara buku 5 au saba, waacheni waende tu
Da aisee ngoja na mimi nisepe majuuMaisha mazuri /mazuri yapo kote duniani.
wengi wana msongo wa mawazoDah hali kama ndio hiyo ngoja nibaki tu hapa kyela niendelee na kazi zangu za kulima mpunga
Kuna ukweli hapa mkuu,tunaona kama wenzetu wanafaidi sanaulaya pa kwenda kutembea tuu, hapa haa ukitulia unapiga triliono azko kazaa au unazitunza huko ulaya, veri simpo
ha ha ha hali ni mbaya sanawengi wana msongo wa mawazo
1.wameondoka hapa bongo kwa mbwembwe na digrii zao wanaishia kwenda kufanya kazi zinazofanywa na mtu asiyesoma darasa lolote hapa bongo
2. wengi eitha wametengana na familia zao ama wanaishi bila familia
3. wamewaacha wenzao hapa wanaendelea kutengeneza nyumba na maisha yao mazuri tuu wao hata kibanda hawana wanazeka huku wakijifanya bado vijana
4. Huyu dada wao ndio ameongeza msongo zaidi maana kurudi bongo anaogopa!!! huko kazi hana!!! waliokuwa wanamfadhili baada ya speach ya juzi watamdharau hali ni mbaya sana kwake
mambo ya kufanya kazi ya kuwatoa kinabibi ili wapigwe na jua sijui kama nitawezaSepa
Kazi zao kuu;Habari zenu wanajamii forum
Nimekuwa nikijiuliza sana siku nyingi kama maisha ya hapo bongo ni magumu, vipi maisha ya nchi ambazo zimeendelea?.Kuna WATANZANIA wengi sana wanakaa nchi za nje vipi wao suala la maisha ni jepesi kwao au inakuwaje.Mtu anakuambia maisha magumu bongo, ngoja nisepe ulaya.Lakini najiuliza hapa hata mchicha utakula wa jalalani maisha magumu na mambo hayaendi vipi wanaoishi ulaya wenzetu au mambo yao safi na serikali za kule zinawapatia raia wetu mahitaji ya muhimu au na wenyewe ni wasakatoke kama sisi huku Afrika.Ni kwel maisha ya ulaya ni mazuri?? au magumashi maana unakuta mtu hana ajira hapa lakini anataka kwenda ulaya ambako kila kitu ni under machine.Vipi hapo
Dah hali kama ndio hiyo ngoja nibaki tu hapa kyela niendelee na kazi zangu za kulima mpunga
Serengeti mkuuMkuu upo kyela sehemu gani?
Kwa majibu haya. Ilitakiwa mtoa uzi afunge virago maana umemaliza kila kitu.Hakuna pahali ama Nchi yeyote enye maisha mazuri pasipo kufanya kazi, maisha mazuri ni kujituma kufanya kazi tu na si vinginevyo, tofauti iliyopo abroad mfano ulaya ni kipato kwamba mtu akiwa mwenye kujituma basi anaweza kufanya kazi sehemu zaidi ya moja na kama ni mtulivu anaweza ku make.
Umeongozwa na hasira pia chuki kwa walioko huko kazi ni kazi tu hata bongo wazibua vyoo wapo na wanapata riziki zao kwa kazi hiyo wala Uhasibu au kazi yako U Dr haiwasaidii, kuna vijana Tz hapa wanashindia kipande cha kashata moja na kajikombe ka kahawa its all about life kaka then penda kujenga hoja ama kutoa mawazo ambayo siyo weak kiasi hikiKwa hiyo kazi ni rahisi kupata ukiwa kule eeh
Wewe mkuu unasumbuliwa na ugonjwa mmoja unaitwa PSYCHOLOGICAL TRAUMA.....kuna kitu kinamisi kwa head yakoUmeongozwa na hasira pia chuki kwa walioko huko kazi ni kazi tu hata bongo wazibua vyoo wapo na wanapata riziki zao kwa kazi hiyo wala Uhasibu au kazi yako U Dr haiwasaidii, kuna vijana Tz hapa wanashindia kipande cha kashata moja na kajikombe ka kahawa its all about life kaka then penda kujenga hoja ama kutoa mawazo ambayo siyo weak kiasi hiki