Ni kweli watanzania wanaoishi Ulaya wanakula bata?

Ni kweli watanzania wanaoishi Ulaya wanakula bata?

Habari zenu wana JamiiForums,

Nimekuwa nikijiuliza sana siku nyingi kama maisha ya hapo Bongo ni magumu, vipi maisha ya nchi ambazo zimeendelea?.

Kuna watanzanis wengi sana wanakaa nchi za nje vipi wao suala la maisha ni jepesi kwao au inakuwaje.Mtu anakuambia maisha magumu Bongo, ngoja niende Ulaya.

Lakini najiuliza hapa hata mchicha utakula wa jalalani maisha magumu na mambo hayaendi vipi wanaoishi Ulaya wenzetu au mambo yao safi na Serikali za kule zinawapatia raia wetu mahitaji ya muhimu au na wenyewe ni wasakatoke kama sisi huku Afrika.

Ni kweli maisha ya Ulaya ni mazuri? Au magumashi maana unakuta mtu hana ajira hapa lakini anataka kwenda Ulaya ambako kila kitu ni under machine.Vipi hapo.
Hukumuona da mange alivyochoka?uliwaona vizuri wapambe wake ...walivyochoka?jibu unalo! [emoji106]
 
Back
Top Bottom