Ni kweli watanzania wanaoishi Ulaya wanakula bata?

Ni kweli watanzania wanaoishi Ulaya wanakula bata?

Wewe mkuu unasumbuliwa na ugonjwa mmoja unaitwa PSYCHOLOGICAL TRAUMA.....kuna kitu kinamisi kwa head yako
Poa mkuu..... Shukrani ngoja niendelee kujitibia ugonjwa huo. Huwa sipendelei sana aina ya mijadala enye sura kama hii unayojaribu kuileta.

Natanguliza sorry.
 
Mkuu Quinton Canosa maisha ya ulaya ni magumu balaa, mimi nipo Gulf lakini nimewahi kutembelea nchi moja kaka yangu anaishi huko, nilikaa pale kwa miezi 3. sema unafanya kazi sana na unalipwa kutokana na kazi yako bila vurugu kama una mapafu mazuri unaweza kufanya kazi hata sehemu 3 kwa siku na ukaingiza mpunga wa maana. Kesho unaenda dukani na unatungua gari kama analoendesha Neymar kwa raha zako hakuna wa kukuiliza. Bongo upo na vyeti unatafuta kazi hata ya kufagia barabara huipati na hata ukipata mshahara hauendani kabisa. Hio ndio tofauti kubwa nilioiona
 
Habari zenu wana JamiiForums,

Nimekuwa nikijiuliza sana siku nyingi kama maisha ya hapo Bongo ni magumu, vipi maisha ya nchi ambazo zimeendelea?.

Kuna watanzanis wengi sana wanakaa nchi za nje vipi wao suala la maisha ni jepesi kwao au inakuwaje.Mtu anakuambia maisha magumu Bongo, ngoja niende Ulaya.

Lakini najiuliza hapa hata mchicha utakula wa jalalani maisha magumu na mambo hayaendi vipi wanaoishi Ulaya wenzetu au mambo yao safi na Serikali za kule zinawapatia raia wetu mahitaji ya muhimu au na wenyewe ni wasakatoke kama sisi huku Afrika.

Ni kweli maisha ya Ulaya ni mazuri? Au magumashi maana unakuta mtu hana ajira hapa lakini anataka kwenda Ulaya ambako kila kitu ni under machine.Vipi hapo.
Hali ngumu pote mkuu ulaya kama huna kazi nitabu tupu kimsingi bora hapa kwetu bado tuna fursa ya kutembeleana na hata kudowea chakula
 
Kwani hukuona zile video za waliojitokeza juzi kwenye balozi zetu walivyojichokea? hali ngumu kule watu wanashindia kipande cha mkate!!! ni usawa wa kuzibua vyoo, kufua nguo za kambi za wazee na walemavu kwa ujira mdogo
..watu tuko kiwanja na tuko byee ile mbaya. ..kazi bwelele huku. ..hela 1 ya huku ni sawa na mara 3000 bongo! Who is better now? Kama una uwezo we kiwashe tu. ..bongo ni kwetu lakini nyosoooo ile mbaya. Tembea uone mambo wewe,
 
Poa mkuu..... Shukrani ngoja niendelee kujitibia ugonjwa huo. Huwa sipendelei sana aina ya mijadala enye sura kama hii unayojaribu kuileta.

Natanguliza sorry.
Basi yameisha kiume najua umeelewa nini nilikuwa namaanisha
 
Mkuu Quinton Canosa maisha ya ulaya ni magumu balaa, mimi nipo Gulf lakini nimewahi kutembelea nchi moja kaka yangu anaishi huko, nilikaa pale kwa miezi 3. sema unafanya kazi sana na unalipwa kutokana na kazi yako bila vurugu kama una mapafu mazuri unaweza kufanya kazi hata sehemu 3 kwa siku na ukaingiza mpunga wa maana. Kesho unaenda dukani na unatungua gari kama analoendesha Neymar kwa raha zako hakuna wa kukuiliza. Bongo upo na vyeti unatafuta kazi hata ya kufagia barabara huipati na hata ukipata mshahara hauendani kabisa. Hio ndio tofauti kubwa nilioiona
daaaah hatari sana mkuu
 
Hakuna pahali ama Nchi yeyote enye maisha mazuri pasipo kufanya kazi, maisha mazuri ni kujituma kufanya kazi tu na si vinginevyo, tofauti iliyopo abroad mfano ulaya ni kipato kwamba mtu akiwa mwenye kujituma basi anaweza kufanya kazi sehemu zaidi ya moja na kama ni mtulivu anaweza ku make.
Mma po umesemapo vizuri gwamyitu...FACT... maisha mazuri hayaji kwa kubeti mzuka deile.Asante ndugu
 
Utaratibu na risk ya kupata kazi Afrika ni ngumu sana. Ulaya kila kitu tayari kiko kwa mpangilio. Huduma za kijamii zimefanikiwa kwa asilimia 95

Miji ya kiafrika asubuh watu wote wanakwenda mjini kwenda kuzurura tu.
 
Pilipili iko shamba yakuwashia nini? Kwanini usijali ndugu zako walioko kijijini huko?!
 
unakimbilia wap mkuu.....dont mind umesema haikuwaaa yangu ndio maana nimeseeeeema yameisha
Hapana bros Napenda mijadala Maana naitumia kujifunza kupitia mawazo ya wengine ila sipendi aina mbaya za mijadala huwa najiepusha nayo sana hasa pale nnapoona mtu unaweza dhihakiwa tu kwa sababu umetoa mawazo yasiyorandani na matakwa ya mtu
 
sorry 4 that......yameisha mkuu tatizo sikuipenda lugha uliyoitumia,in short nisamehe,may be nawe umekwazika,Wanaume huwa hatuweki mambo moyoni tunarekebishana yanakwisha...samahani kwa hilo
 
sorry 4 that......yameisha mkuu tatizo sikuipenda lugha uliyoitumia,in short nisamehe,may be nawe umekwazika,Wanaume huwa hatuweki mambo moyoni tunarekebishana yanakwisha...samahani kwa hilo
Usijari mkuu na huu ndiyo ushahidi wa kwamba sisi ni wanadamu so samahani kama pia kuna sehemu nilitumia lugha iliyoleta ukakasi but haikuwa nia yangu.
 
Back
Top Bottom