Ni kweli wasichana wakizungu wana mapenzi ya kweli?

mhalisi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
1,181
Reaction score
322
waungwana inasemekana mabinti wakizungu wana mapenzi ya kweli kuliko dada zetu wengi wakiafrika, na inasemwa binti wa kizungu akiamua kukupenda anakupenda kweli hata kama huna kitu. je hili ni jambo la kweli? na kama ni kweli kwanini wao wawe na mapenzi ya kweli?
 
siyo kwamba wana mapenzi ya kweli bali kimuundo nchi zao zinamtazamo huo watu wakiwa pamoja ni wao tu, siyo kuingiliwa katika maisha mfano mtu unaishi dar mara mtoto wa mjomba anakuja naye kuishi hapo na wengineo. kama ni bint wazungu huwa hawakawizi analipua tu , sasa huko kwa wenzetu hizo fursa za kuishi kama kijiji hazipo kwa hiyo inakuwa ngumu kuzoena hovyo hovyo . tena hata mkwe wa kike hawa jamaa wanabenjuka tu wanaita burudani,,,, let us enjoy but i have got a wife,,, mzungu hapo anaona sinabofya tu halafu vinaisha , sasa sisi wa bongo unataka iwe daily ndiyo shida hapo huku una mke
 
Mapenzi ya kweli hayapo kwa mujibu wa rangi ya ngozi ya mtu.
 
sio kweli.....

its the perception people like you have and the
nature of their life
 
waungwana inasemekana mabinti wakizungu wana mapenzi ya kweli kuliko dada zetu wengi wakiafrika, na inasemwa binti wa kizungu akiamua kukupenda anakupenda kweli hata kama huna kitu. je hili ni jambo la kweli? na kama ni kweli kwanini wao wawe na mapenzi ya kweli?

ask OJ SIMPSON or FRANK BRUNO......former is in jail...the latter was in psychiatric wards a few times because of those white women
 
waungwana inasemekana mabinti wakizungu wana mapenzi ya kweli kuliko dada zetu wengi wakiafrika, na inasemwa binti wa kizungu akiamua kukupenda anakupenda kweli hata kama huna kitu. je hili ni jambo la kweli? na kama ni kweli kwanini wao wawe na mapenzi ya kweli?

Waafrika ni limbukeni san wa mapenzi ndo maana mara nyng huwez kuta anamahistoria ya kutendwa kukuta mzungu mtu mzima bikira kawaida sn sas wa afrika wengi wao mpaka anaolewa ashakuwa na wanaume chungu mzima
 
any given day nitamuamini demu wakizungu kuliko wakibongo...i just dnt trust mademu wakibongo wen it comes matters of yhe heart.
 
Ni kweli wazungu wengi wapo real kwa sababu wamelelewa kwenye discpline ya maisha tangu utotoni.Sis maisha yetu kama hatujisomi tupo tupo tu mpaka siku ya kufa kwetu yaani tunatia huruma ndio maana karibia vitu na mambo mabaya ni sifa yetu mablack.Yaani sis ni pasua kichwa aisee a.k.a mizoga nani anabisha?
 
any given day nitamuamini demu wakizungu kuliko wakibongo...i just dnt trust mademu wakibongo wen it comes matters of yhe heart.

Njaa na mapenzi ya ukweli ni vitu viwili tofauti
HAWA WA KWETU WANATUMIA MIILI YAO KAMA POTENTIAL YA KUTOKA KIMAISHA SASA TRUE LOVE LITAKUJAJE.
 
Ingekuwa ni hivyo basi ulaya kusingekuwa na talaka lakini kwa taarifa yako huko ndio zimejaa, halafu ni wachafu mno kwenye mahusiano kugegedwa ofcn bafuni kwenye gari na mtu baki kwao ni normal, Yani hawana staha kabisa na nye..zao, akikufill tu anakuvulia hayo c mapenzi ya kweli bali ni ngono ya ukweli
 
Njaa na mapenzi ya ukweli ni vitu viwili tofauti
HAWA WA KWETU WANATUMIA MIILI YAO KAMA POTENTIAL YA KUTOKA KIMAISHA SASA TRUE LOVE LITAKUJAJE.
Nawatetea dada zetu wabongo wana heshima wana staha na wana mapenzi ya dhati, Labda kuna watu wamekutana na vicheche ndio wanaofikiri kila mmoja yuko hivyo
 
any given day nitamuamini demu wakizungu kuliko wakibongo...i just dnt trust mademu wakibongo wen it comes matters of yhe heart.
Itakula kwako Mwana, wazungu ni washenzi to the maxmum, nina mifano live ya hawa wadudu, they are alliens, usifikiri kutembea naye amekushika mkono ndio mapenzi Aah wapi,
Wako hv wana sentimental love, ni lazima umpeleke beach au disco au whatever, ni lazima ukumbuke Siku zenye matukio Muhimu kwake na ni lazima katika hayo matukio umfanyie kitu, kwa ufupi ni wasumbufu mno japo kwa nje watu watadhani unapendwa kweli, wanaume zao wenyewe wanawakimbia wanakuja kwa dada zetu
Halafu kuna wakati huwa wanataka kuwa wenyewe, watoke wenyewe, waende popote wenyewe, huko wakikutana na mtu wakamtani watagegedwa hata mchangani, chezeya mudhungu weye....hawana maana mahesabu
 
ni kweli mkuu. lakin nimefanya utafiti na kuona njaa mbaya kwa dada zetu.mfano
kwa wenzetu gari ni basic need yan kitu cha lazima na siyo lazima uwe na cash unakopa hivo kila mtu analo wakat uku kwetu wanashoboka lift tu.
simu kali .ipad kule kawaida ndio maana toleo likitoka mamillion ya watu ulala nje ya mall kusubiria wafungue wawe wa kwanza kununua.
uku kwetu umaskini.
hivo sababu ni aina ya maisha ndio yaliyofanya kuwa hivo
 
Itakula kwako Mwana, wazungu ni washenzi to the maxmum, nina mifano live ya hawa wadudu, they are alliens, usifikiri kutembea naye amekushika mkono ndio mapenzi Aah wapi,
Wako hv wana sentimental love, ni lazima umpeleke beach au disco au whatever, ni lazima ukumbuke Siku zenye matukio Muhimu kwake na ni lazima katika hayo matukio umfanyie kitu, kwa ufupi ni wasumbufu mno japo kwa nje watu watadhani unapendwa kweli, wanaume zao wenyewe wanawakimbia wanakuja kwa dada zetu
Halafu kuna wakati huwa wanataka kuwa wenyewe, watoke wenyewe, waende popote wenyewe, huko wakikutana na mtu wakamtani watagegedwa hata mchangani, chezeya mudhungu weye....hawana maana mahesabu

heri yao kulimo sie tunaojidai kuwa na high moral standardz wakati ni uzushi mtupu.
wee unaona hizi tabu sii becoz it ja foreign to u. kwangu mie nimejionea kuwa kudeal na wanawake wakibongo inanipa tabu kuliko wakidhungu...
 
Njaa na mapenzi ya ukweli ni vitu viwili tofauti
HAWA WA KWETU WANATUMIA MIILI YAO KAMA POTENTIAL YA KUTOKA KIMAISHA SASA TRUE LOVE LITAKUJAJE.

hahahha kweli. sasa mie wanachoniboa ni ilw pretence...wee kama wataka kutoka kimaisha kwa migegwdo sema sio wajidai kwani umeniona mie malaya....be true to urself angalau wadhungu wanajitaidi kwa hilo.
 
Waafrika ni limbukeni san wa mapenzi ndo maana mara nyng huwez kuta anamahistoria ya kutendwa kukuta mzungu mtu mzima bikira kawaida sn sas wa afrika wengi wao mpaka anaolewa ashakuwa na wanaume chungu mzima
can you establish your claims?
 
Waafrika ni limbukeni san wa mapenzi ndo maana mara nyng huwez kuta anamahistoria ya kutendwa kukuta mzungu mtu mzima bikira kawaida sn sas wa afrika wengi wao mpaka anaolewa ashakuwa na wanaume chungu mzima

Ukisoma uzi ukaelewa hauwezi ukachangia kama vile petrol iliyolipuka.
Jamaa kazungumzia mapenzi ya kweli, na wewe umetiririka na bikira.
If you don't have a good pount keep quiret
 
siyo kwamba wana mapenzi ya kweli bali kimuundo nchi zao zinamtazamo huo watu wakiwa pamoja ni wao tu, siyo kuingiliwa katika maisha mfano mtu unaishi dar mara mtoto wa mjomba anakuja naye kuishi hapo na wengineo. kama ni bint wazungu huwa hawakawizi analipua tu , sasa huko kwa wenzetu hizo fursa za kuishi kama kijiji hazipo kwa hiyo inakuwa ngumu kuzoena hovyo hovyo . tena hata mkwe wa kike hawa jamaa wanabenjuka tu wanaita burudani,,,, let us enjoy but i have got a wife,,, mzungu hapo anaona sinabofya tu halafu vinaisha , sasa sisi wa bongo unataka iwe daily ndiyo shida hapo huku una mke

Hakuna Mapenzi ya kweli zaidi ya yale ya kati ya "Mama na mtoto"... Mapenzi mengineeee yoooote ni kwa ajili ya malengo fulani!
 
Back
Top Bottom