andate
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 2,651
- 1,029
waungwana inasemekana mabinti wakizungu wana mapenzi ya kweli kuliko dada zetu wengi wakiafrika, na inasemwa binti wa kizungu akiamua kukupenda anakupenda kweli hata kama huna kitu. je hili ni jambo la kweli? na kama ni kweli kwanini wao wawe na mapenzi ya kweli?
Kuna dakta mmoja wa saikolojia chuo fulani, anadai kuna research ilifanywa dunia nzima kuhusu mitazamo ya wanawake kwenye maisha ya kila siku, na conclusion ikawa kwamba wanawake wanaingiliana kwa asilimia 80, maana yake wengi wao wanafanana haijalishi mwafrika, mzungu mchina, n.k. Kwa upande wa wanaume ilionekana kuwa wanatofautiana mno ki mitazamo.