Ni kweli wanawake wapo wengi kuliko wanaume?

ndenjii handsome

JF-Expert Member
Apr 27, 2021
647
704
Wanaume hebu kwanza tujadili hili jambo

Leo hiyi ukiomba mahusiano na mwanamke, awe mdogo au mtu mzima,
Likija suala la kufanya nae sex lazima hapo ajione u special wa mwanamke kana kwamba kile kitendo ni cha mtu mmoja,au ni vile mwanaume pekee ndio anayejisikia utamu
Watu wanasema wanawake ni wengi kuliko wanaume,
Mpaka sasa siamini na haliniingii akilini,maana sote twajua faida au hasara ya kitu kikiwepo kingi,

Kama kweli wanawake wangekuwa wengi kuliko wanaume nazani kila mmoja wetu anajua faida ya kitu kuwa kingi

Lakini leo hiyi ukiangalia ni nani mwenye thamani kati ya me na ke sote jibu tunalo

Kwa tafiti na taarifa hizo nilijua labda mwanaume ndio angeweza kuwa dhahabu au tanzanite, kama kule kwa wenzetu wahindi, au hilo ongezeko la wanawake, huku Tanzania bado,

Uzi huu nimeleta baada ya kukaa na kuwaza jinsi wanaume tunavyokwepa vibom na wao kwa kuona udhaifu wetu,wamesimamia hapo hapo,
Lakini ingekuwa wao ndio wapo wengi sote tungeona matokeo yake

Moja ya faida za wanawake kuwa wengi
Mizinga ya ovyo isingewepo
Mali wangetoa wao
Wao ndio wangetu aproch
Mwanamke asingeweza kujiona special kana kwamba ni kiumbe pekee alieubwa na Mungu

Swali langu lipo pale pale ni kweli wanawake ni wengi kuliko wanaume au tumeandaliwa kisaikolojia


Kwa kuwa ni night nitaweka vizuri ili nieleweke
 
Mkuu kuna mambo hayahitaji uwe na digree ndio uyatambue,
Jibu ni moja tu kuwa wanawake ni wengi kuliko wanaume,na ili kuthibitisha hilo fuatilia report za mahospitalini uwiano kati ya me na ke wanaozaliwa kwa kila siku,
Wengi kivipi wakati uhalisia hauendani na kinachoongelewa
Ni kwamba wamezaliwa hivi karibuni tusubiri au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...Mkuu nahisi nyege tu ndio zinakusumbua mpaka unaona wanawake ni wachache kwa vile hujapata wa kukupunguzia hizo nyege zako,
Nakushauri tafuta hela hakika utaamini nikuambiacho,ila kama ni jobless hata hao wanaopita utaona kila mmoja ana wake
 
Haijawahi kutokea wakazaliwa watoto 100 halafu wa kiume wakawa wengi,halafu Kati ya hao wachache wengine wanakuja kuwa mashoga,idadi ya wanaume inazidi kupungua kila siku.
 
Wengi kivipi wakati uhalisia hauendani na kinachoongelewa
Ni kwamba wamezaliwa hivi karibuni tusubiri au?

Sent using Jamii Forums mobile app
Haihitaji elimu kubwa wala

1.vita vingi vilivyowahi kutokea hapa duniani wanaopigana ni 99% ni wanaume na wanaokufa huko pia ni wanaume wanawake watachukuliwa mateka na na watahamishiwa makazi ya washindi tusiende mbali vita vya kwanza na vya pili vya dunia ni mfano tu.

2.Katika shuguli za utafutaji wanaume ndo tunahusika kwa asilimia kubwa mno hasa zile kazi za hatari sana hauwezi kuta mwanamke kule mfano mzuri ni machimbo ya petrol ni kazi yenye mortality rate kubwa mno na wengi kule ni wanaume.

3.Maisha yetu wanaume yamezungukwa na hatari kubwa mno mfano tu hapa bongo mwanaune ukifanikiwa kutoboa kimaisha hapo umetokea familia ya kimaskini hii itakuwa pona ya familia yako na pona ya familia ya mke na pona ya familia ya wazazi wako hivyo unajikuta unalea familia 3 kwa fedha ndogo bado stress nyingi na ukirudi nyumbani unakutana na mke kavimba kama chura kwanini tusife haraka?

Kwa nchi za nje ni jinis lifestyle zao zilivyo zinawafanya wanakufa mapema.

4.Wanaume kikawaida kama una afya njema utakuwa unazalisha mbegu X na Y kwa wakati mmoja. mbegu Y itasababisha mtoto wa kiume kama itaungana na X ya mwanamke na X itasababisha mtoto wa kike kama itaungana na X ya mwanamke ila sasa shida ni kwamba Y zinatoka kwa kiwango kidogo mno na zinaishi kwa siku mbili hadi tatu pekee kwenye kizazi cha mwanamke ila zina kasi mno kuliko X pia X ni zinatolewa kwa wingi sanaaa na zina maisha marefu hadi siku 7 kwenye kizazi cha mwanamke ila zipo taratibu kuliko Y hivyo kupata mtoto wa kiume itabidi utegee siku za hatari pekee ila wa kike daily tu hata bila kupanga kama yai likitoka we mwaga tu utashtukia imetiki.

Swali ni je ni wangapi wanafuata mizunguko kwa usahihi ? Ukiacha mzunguko kuvurugika kutokana na labda vyakula anavyotumia mwanamke au hata stress?
 
unafahamu Kuwa Quruan inasema tuoe hata wanawake 3 sisi wanaume.
ilijua wanawake watakuwa wengi .
mfano nenda hospitali angalia idadi ya watoto wanaozaliwa 100 -wakike ,29 -wakiume tena hiyo ni siku moja
 
Back
Top Bottom