Ni kweli wanawake wapo wengi kuliko wanaume?

mfano wa kwanza nenda sehemu ziazokutanisha watu wengi ukaone kati ya wanawake na wanaume wapi wengi mfano mavyuoni, makanisani ,kwenye masoko makubwa kama kariako ,kweny mapantoni kama kigamboni ,afu fanya observation research uone kati ya wanawake na wanaume wapi unaowaona wengi idadi kubwa ya utakaokua unawona ni wanawake ila kama upo Kijiji huwezi ona kama wanawake ni wengi
 
Mkuu ishu sio kuwa wanawake ni wengi Shida wanawake wote wanashobekea asilimia 30% ya wanaume ya jamii husika ambao wanaume hao ni kuanzia wenye uchumi WA kati na kuenda juu na pia wenye mwonekano WA mzuri yani mahandsome wanaume hao ndio wanaume wanaokuta shobo nyingi za wanawake ila kama hauna uchumi angalau wakujimudu binafsi na muonekano mzuri wala ushawishi wowote WA kijamii ni ngumu sana sana kushobokewa na mwanamke yani kiufupi unakuwa invisible kwao ndio kama hivo inakubidi utumie nguvu nyingi kuwapata na ukiona demu akushobokea ujue unasifa hata moja hapo juu

Mkuu kiufupi wanawake ni wengi kuliko wanaume ila Shida wanawake haohao wanabanana kwa wanaume wenye sifa hapo juu ambao kimsingi ni wachache ndio maana unaona kama vile special sana
 
Tupo sawa sema wanaume tumegawanyika sehemu ambazo ni nje ya maisha ya kawaida kama gerezani kwenye vita na wengine hatuna hela kwa hyo wanabaki wachache wanaoweza kuwahudumia wanawake ndio maana wanajiona wapo wengi.
 
Haihitaji elimu kubwa wala

1.vita vingi vilivyowahi kutokea hapa duniani wanaopigana ni 99% ni wanaume na wanaokufa huko pia ni wanaume wanawake watachukuliwa mateka na na watahamishiwa makazi ya washindi tusiende mbali vita vya kwanza na vya pili vya dunia ni mfano tu.

2.Katika shuguli za utafutaji wanaume ndo tunahusika kwa asilimia kubwa mno hasa zile kazi za hatari sana hauwezi kuta mwanamke kule mfano mzuri ni machimbo ya petrol ni kazi yenye mortality rate kubwa mno na wengi kule ni wanaume.

3.Maisha yetu wanaume yamezungukwa na hatari kubwa mno mfano tu hapa bongo mwanaune ukifanikiwa kutoboa kimaisha hapo umetokea familia ya kimaskini hii itakuwa pona ya familia yako na pona ya familia ya mke na pona ya familia ya wazazi wako hivyo unajikuta unalea familia 3 kwa fedha ndogo bado stress nyingi na ukirudi nyumbani unakutana na mke kavimba kama chura kwanini tusife haraka?

Kwa nchi za nje ni jinis lifestyle zao zilivyo zinawafanya wanakufa mapema.

4.Wanaume kikawaida kama una afya njema utakuwa unazalisha mbegu X na Y kwa wakati mmoja. mbegu Y itasababisha mtoto wa kiume kama itaungana na X ya mwanamke na X itasababisha mtoto wa kike kama itaungana na X ya mwanamke ila sasa shida ni kwamba Y zinatoka kwa kiwango kidogo mno na zinaishi kwa siku mbili hadi tatu pekee kwenye kizazi cha mwanamke ila zina kasi mno kuliko X pia X ni zinatolewa kwa wingi sanaaa na zina maisha marefu hadi siku 7 kwenye kizazi cha mwanamke ila zipo taratibu kuliko Y hivyo kupata mtoto wa kiume itabidi utegee siku za hatari pekee ila wa kike daily tu hata bila kupanga kama yai likitoka we mwaga tu utashtukia imetiki.

Swali ni je ni wangapi wanafuata mizunguko kwa usahihi ? Ukiacha mzunguko kuvurugika kutokana na labda vyakula anavyotumia mwanamke au hata stress?
Hayo yoote yanini wakati mfano mdogo ni jamaa mmoja kafungua kampuni katangaza ajira za ubebaji wa magunia ya bidhaa zake na kupaika kwenye semi

Lakini wanaoomba kazi ni wanaume, unaweza dhani wanawake ni kama tangazo hawalioni au hawana shida na kazi au wote wameajiriwa

Haya tukiachana na hiyo kuna kiwanda cha nondo hakina mambo mengi ni kuopoa nondo kwenye kinu cha moto kitu ambacho ni simple sana kwa wanawake kwasababu wana experience ya kukaa jikoni

Na kinalipa mshahara mzuri sana lakini 100% wafanyakazi ni wanaume

Eneo ambalo wanawake utawaona ni kwenye mgawanyo wa mali siku ya talaka, ama kweli siku hiyo utaiona nguvu ya mwanamke na kuuheshimu mdoml kua ni silaha hatati sana
 
Hii kweli kabisa ndo mana kuna jamaa aliwahi kuishi na mwanamke ila akagundua mapema sana mwanamke ni anataka mali kutoma kwake alichokifanya akazama mfukoni majina ya hati za umiliki wa mali yakaandikwa ya mama yake mzazi kweli walikuja kukosana mwanamke akataka 50% kuja kushtuka jamaa anachomiliki ni pesa kiduchu mno zipo benki.
 
Hayo yoote yanini wakati mfano mdogo ni jamaa mmoja kafungua kampuni katangaza ajira za ubebaji wa magunia ya bidhaa zake na kupaika kwenye semi

Lakini wanaoomba kazi ni wanaume, unaweza dhani wanawake ni kama tangazo hawalioni au hawana shida na kazi au wote wameajiriwa

Haya tukiachana na hiyo kuna kiwanda cha nondo hakina mambo mengi ni kuopoa nondo kwenye kinu cha moto kitu ambacho ni simple sana kwa wanawake kwasababu wana experience ya kukaa jikoni

Na kinalipa mshahara mzuri sana lakini 100% wafanyakazi ni wanaume

Eneo ambalo wanawake utawaona ni kwenye mgawanyo wa mali siku ya talaka, ama kweli siku hiyo utaiona nguvu ya mwanamke na kuuheshimu mdoml kua ni silaha hatati sana
Wapi huko niende
 
Wanaume hebu kwanza tujadili hili jambo

Leo hiyi ukiomba mahusiano na mwanamke, awe mdogo au mtu mzima,
Likija suala la kufanya nae sex lazima hapo ajione u special wa mwanamke kana kwamba kile kitendo ni cha mtu mmoja,au ni vile mwanaume pekee ndio anayejisikia utamu
Watu wanasema wanawake ni wengi kuliko wanaume,
Mpaka sasa siamini na haliniingii akilini,maana sote twajua faida au hasara ya kitu kikiwepo kingi,

Kama kweli wanawake wangekuwa wengi kuliko wanaume nazani kila mmoja wetu anajua faida ya kitu kuwa kingi

Lakini leo hiyi ukiangalia ni nani mwenye thamani kati ya me na ke sote jibu tunalo

Kwa tafiti na taarifa hizo nilijua labda mwanaume ndio angeweza kuwa dhahabu au tanzanite, kama kule kwa wenzetu wahindi, au hilo ongezeko la wanawake, huku Tanzania bado,

Uzi huu nimeleta baada ya kukaa na kuwaza jinsi wanaume tunavyokwepa vibom na wao kwa kuona udhaifu wetu,wamesimamia hapo hapo,
Lakini ingekuwa wao ndio wapo wengi sote tungeona matokeo yake

Moja ya faida za wanawake kuwa wengi
Mizinga ya ovyo isingewepo
Mali wangetoa wao
Wao ndio wangetu aproch
Mwanamke asingeweza kujiona special kana kwamba ni kiumbe pekee alieubwa na Mungu

Swali langu lipo pale pale ni kweli wanawake ni wengi kuliko wanaume au tumeandaliwa kisaikolojia

Kwa kuwa ni night nitaweka vizuri ili nieleweke

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ratio ya vizazi tu kwenye ukoo wetu this time kila bro kapata mtoto wa kike yani plus wadogo zangu.

Everybody has a girl child kwa mwaka jana mpaka sasa kuna visichana kama 7 vimezaliwa no boy child.
 
unafahamu Kuwa Quruan inasema tuoe hata wanawake 3 sisi wanaume.
ilijua wanawake watakuwa wengi .
mfano nenda hospitali angalia idadi ya watoto wanaozaliwa 100 -wakike ,29 -wakiume tena hiyo ni siku moja
Kasome takwimu Zako vizuri wanaozaliwa wengi ni Wanaume kuliko wanawake sema wanawake wanaishi maisha marefu ndo maana wanaonekana wengi
 
Kulingana na live world population data,wanaume tupo 51.5% na wanawake ni 49.5%,ili kijithibitishia google "live world population"
 
Kulingana na live world population data,wanaume tupo 51.5% na wanawake ni 49.5%,ili kijithibitishia google "live world population"
Tz hatujafanya Sensa ya watu since 2012 so wametoa zawadi wapi data zetu?
 
Back
Top Bottom