Sio kweli. Kwa hii hoja hako. Na bahati mbaya kwa hili watu wengi Wana uelewa
mfogo kuhusu watoto wapi wanazaliwa wengi. Ukweli ni kwamba watoto wa kiume wanazaliwa wengi kuliko wa kike. Ila Sasa mfumo wa maisha unapelekea
wanaumme wengi kufa kuliko
wanaumme.
Nikute tu mifano. Majambazi. Vibaka. Wezi. Waathirika wa madawa ya kulevya. Wafungwa.
Wavuvu. Wanaofanya Kaz za risk kubwa. 90 ni wanaumme na mambo haya hupelekea wanaumme kufa kwa wing kuliko wanawake
Sent from my TECNO KG6 using
JamiiForums mobile app