ndenjii handsome
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 646
- 709
Wanaume hebu kwanza tujadili hili jambo
Leo hiyi ukiomba mahusiano na mwanamke, awe mdogo au mtu mzima,
Likija suala la kufanya nae sex lazima hapo ajione u special wa mwanamke kana kwamba kile kitendo ni cha mtu mmoja,au ni vile mwanaume pekee ndio anayejisikia utamu
Watu wanasema wanawake ni wengi kuliko wanaume,
Mpaka sasa siamini na haliniingii akilini,maana sote twajua faida au hasara ya kitu kikiwepo kingi,
Kama kweli wanawake wangekuwa wengi kuliko wanaume nazani kila mmoja wetu anajua faida ya kitu kuwa kingi
Lakini leo hiyi ukiangalia ni nani mwenye thamani kati ya me na ke sote jibu tunalo
Kwa tafiti na taarifa hizo nilijua labda mwanaume ndio angeweza kuwa dhahabu au tanzanite, kama kule kwa wenzetu wahindi, au hilo ongezeko la wanawake, huku Tanzania bado,
Uzi huu nimeleta baada ya kukaa na kuwaza jinsi wanaume tunavyokwepa vibom na wao kwa kuona udhaifu wetu,wamesimamia hapo hapo,
Lakini ingekuwa wao ndio wapo wengi sote tungeona matokeo yake
Moja ya faida za wanawake kuwa wengi
[emoji117]Mizinga ya ovyo isingewepo
[emoji117]Mali wangetoa wao
[emoji117]Wao ndio wangetu aproch
[emoji117]Mwanamke asingeweza kujiona special kana kwamba ni kiumbe pekee alieubwa na Mungu
Swali langu lipo pale pale ni kweli wanawake ni wengi kuliko wanaume au tumeandaliwa kisaikolojia
Kwa kuwa ni night nitaweka vizuri ili nieleweke