ni kweli wanawake hawapendani?

Btw msisahau ziwa Victoria, ziwa Jipe, ziwa Chad yote ni Maziwa but hayaveshwi sidiria!
 

kama wanaume mnapendana mbona hamtaki wake zenu walalwe na wanaume wengine?
 
Ndugu zangu kwenye ukweli tuseme ukweli, kumbukeni ule msemo usemao "wanawake ni viumbe dhaifu" sijui maana ya neno hili,but kuna wakati naamini maana unaweza ukawa,mfano mie na mke wangu Evelyn Salt tunatembea mitaani gafla tuna kutana na Madame B akiwa na Ben Saanane ,hawa wanawake ukiwatazama kwa umakini unaweza kuwaona jinsi wanavyo betuliana midono,hii inaonyesha kuwa wanawake wanaongea lugha yao ambayo mwanaume hato ielewa. Hivyo basi mwanamke na mwanaume wanatabia ambazo kila mmoja anajiona yeye afanyavyo ndivyo.
 
Last edited by a moderator:
mie kuna wakati naiamini hii theory,otherwise kwa nini tunachukuliana waume,na kunyanyasa watoti wa kambo

kuchukuliana wanaume si kwasababu mwanamke amchukie mwanamke mwenzie bt ni upendo wa dhati alionao mwanamke huyo kwa mume wa mtu ndo unasababisha migogoro kati ya wanawake
 

hahahha Slave

Unajua kuna wakati nikitoka out na mpenzi wangu Madame B nashindwa kumuelewa

Mara aniambie niache kuzungusha zungusha macho n.k
 
Last edited by a moderator:
My boo....nakupenda pia.Nimefurahi pia kuona umeanza kunywa maziwa asubuhi

Nilikua napambana na wewe maana ulivyokua unapenda kula Ice cream asubuhi asubuhi ulinitia wasiwasi.

Chako kipende,chako kilinde.Nitakulinda daima!

Usijali switii wangu,
Mimi na wewe mpaka kifo.
Si unajua Ice cream ulinizoesha wewe wakati tuko kule Tanga?........ au umesahau?
Usijali........... nitakupenda na kukulinda daime Mpenzi wangu.

Anakusalimia shemeji yako Mr Rocky..........

 
Last edited by a moderator:
akitoka kuliko mimi nachukia,
akipuliza pafum nzuri kuliko yangu nachukia
akiwa na miradi mingi kuliko yangu nachukia vilevile
akiwa anatolewa out hata kama na mumuwe kila siku ananiboa vile vile
akijifanya msafi sana ananiboa vile vile
hata Kongosho ananiboa kisa anatoka na Bishanga ntampendaje
hata Madame B naye hivyo hivyo, daaaaaaaaaaah!!!!!!!!!

kwa kuanzia hapo tu pana aina yoyote ya upendo utakaopenyeza kweli
 
Last edited by a moderator:
Madame B kweli hapa umeshindwa,
unapenda kama nini vile, pole sana bi shost.

Usijali switii wangu,
Mimi na wewe mpaka kifo.
Si unajua Ice cream ulinizoesha wewe wakati tuko kule Tanga?........ au umesahau?
Usijali........... nitakupenda na kukulinda daime Mpenzi wangu.

Anakusalimia shemeji yako Mr Rocky..........

 
Last edited by a moderator:



CC: Mamndenyi wewe.

Madame B nakuona ujue,

copy: Mr Rocky
Mr Rocky shemeji yangu,.........
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha haaaaa
utahesabu una mwanaume hapa kweli?
Mamndenyi nikikushika nitakugongesha hicho kichwa chako ukutani maana unaonekana mgumu wa kuelewa! Narudia tena! Usinihusishe na Bujibuji! Jamani utaacha nilie kwa makelele hapa! Sijui nimuite nani anaisaidie hapa!
 
Last edited by a moderator:
acha nipite hapa maana nikimwaga mchele kuku wengi
 
Huu mchezo wa kuvizia Thrade za asubuhi-asubuhi umeunza lini?
Kwanza sio mida yako hii ya kuvinjari jamvi ! Punguza kuchungulia ! Hamtetwi walau kiduchu , mshatia maguu!
Tena wiki hii nnajifil apetaiti ya kukutetateta tu! Ngoja nikushobokee!

We teta tu.
Bila shaka unaijua vizuri sura yangu ilivyo ya mbuzi!

btw, usikremishe ratiba zangu. Nazijua mwenyewe tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…