Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,271
- 13,429
Achana naye bwege huyo hajielewi na haelewi anachokiandika ..Unabisha nn juu ya hili na unavosema kwamba mtu yeyote akihamia sehem pasipo kujitambulisha kwa serikal ya kijiji anauwawa hv kweli watu wamekutwa na silaha wameuliwa as long as ni majambazi haijarishi wapi wametokea bado unapinga tu daah alieturoga kafa