Ni kweli Waafrika tunastahili jina hili?

Nahitaj kujibiwa

ukiangalia kwa jicho la 3 utagundua kuwa yote haya 2meyataka wenyewe waafrika kiukwel miaka ya kuanzia 50 mpaka 80 nch nying za afrika zlikuwa zimepata uhuru lakn kiukwel waafrika 2likuwa bado atujafanya maandalizi ya kujitawala coz nch nyng azikuwa na wasomi ,wataaramu,uwezo wa kujitegemea, na vngne vng 2 ilikuwa kama kufata mkumbo tu kutaka uhuru miaka ya 60 lakini hatukuwa na maandalizi yeyote wala vsion mfano TZ wkt 2napata uhuru wasomi na wataaramu walikuwa hawafiki hata 50 kwa nchi ya watu milion 9 kwa kpnd hcho cha mwaka 61 ni kama mke wako anaondoka anakuachia kitoto cha mwez mmoja ndivyo 2livyo achwa na wakoloni myb 2ngesubl kdg kngne viongz wa kpnd hcho marais weng wa kpnd hcho walikuwa hawataki ushauri wa wasomi walikuwa wanatawala kwa utashi wao mfano washauri ni wazee badala ya wasomi?
 
Ukweli mchungu

Blacks sio sawasawa na race nyingine, Huo ndio ukweli ingawa inauma.
 
mleta mada pamoja na uafrika wako inaoneka hujijui wewe ni nani?nani kakuambia africa lazima ijifananishe nahao wazungu wako?africa is for africa you cant compare it with any race or any continent ,hao wote wanafanya brain washing tu africa haihitaji bara lolote au race yoyote ni wanijipendekeza tu.jiulize kama tungekuwa inferior mbona tupo mpaka leo since the beginning?ukichoka kuishi africa nenda huko huko

mkuu huo n uvivu wa kufikili
 
Katika jamii zote ni watu weusi tu ndio wanafananiswa na nyani.Nilichukia sana nikamwambia i need facts or prove about what u say nikajua ni u-racist

That was a very big blunder you made. Unapoongea na chizi ambaye anaonekana kama ana akili timamu unatakiwa ufurahi kwa kila atakchokisema. I wish I were at your place! I very much like people of the sort! Uswie unakasirikia unapoonge na machiz
 
Hakuna jipya kila watu na nafasi zao. Sasa kama sie ni nyani mbona nyani zipo na tuna uafadhari zaidi yao
 
endelea kujishusha mwenyewe kuwa unafanana na nyani lakini the real fact is without Africa and Africans no surviving in west,east,north,south and all over the world..mwafrika anategemewa sana na hao wanao tudharau kama nguzo zao katika ukuaji wa uchumi wa nchi zao..tatizo hampendi kuzama deep nakujua source ya haya yote hamtaki kusoma vitabu vilivyo andkwa na hao wanao tuita nyani,na wengine wazalendo wa kweli..
kwakifupi soma hiki kitabu "why Europe underdeveloped Africa" by Walter Rodney pia ukimakimaliza mtafute Abdurahiman Babu katika African socialism or Socialist Africa...Jitambueni kwanza kabla ya kujifananisha na manyani
Hakuna asiye jua hilo kwamba Ulaya ilifanya hicho alicho kisema mwandishi but je is it only Africa ndio walifanya hayo!? Mataifa karibu yote ya Asia may be except Japan yalitawaliwa, yaani India, China, Korea zote 2, Indonesia, Malaysia, Australia nk, wote hao walitawaliwa but kwanini sisi bado ni masikini hivi!? Well, hebu ichukue nchi kama Haiti ambayo ina zaidi ya miaka 200 ikiwa huru na tena wala haiku Africa ila ni weusi wenzetu, wale ni masikini wa kutupwa I mean ni mafukara. So kusingizia ukoloni au kutawaliwa na umasikini wetu ni excuse iliopitwa na wakati sana, sisi hatupo sawa na wengine, period
 
Yaaani mzungu akiongea pumba unamsapoti. Waafrika tuna mapungufu yetu lakini tukumbuke nchi zetu bado ni changa ila tutafika tu kwenye maendeleo. Ethiopia miaka ya tisini ilikumbwa vita na njaa dunia nzima ililia ila leo ina hadi matreni ya umeme kama ulaya. Tusijilinganishe na China na India hizo nchii zina maendeleo kwa muda mrefu kabla hata hazijatawaliwa na wakoloni. Ni falme za kale sana za dunia hii. Hizo nchi za kusini mwa afrika zilikua na uchumi mkubwa ila sio jumuishi bali umeshikwa na wazungu. Waafrika walikua watu wa chini sana hawakunufaika. Mwaka huu katika nchi kumi zinazokua uchumi kwa kasi karibia nusu zinatoka Afrika.
 
Hakuna asiye jua hilo kwamba Ulaya ilifanya hicho alicho kisema mwandishi but je is it only Africa ndio walifanya hayo!? Mataifa karibu yote ya Asia may be except Japan yalitawaliwa, yaani India, China, Korea zote 2, Indonesia, Malaysia, Australia nk, wote hao walitawaliwa but kwanini sisi bado ni masikini hivi!? Well, hebu ichukue nchi kama Haiti ambayo ina zaidi ya miaka 200 ikiwa huru na tena wala haiku Africa ila ni weusi wenzetu, wale ni masikini wa kutupwa I mean ni mafukara. So kusingizia ukoloni au kutawaliwa na umasikini wetu ni excuse iliopitwa na wakati sana, sisi hatupo sawa na wengine, period
Fact
 
Sema wewe haupo sawa na wengine usigeneralize. Kama unajiona inferior hilo ni tatizo lako binafsi sio la wote.
 
Sema wewe haupo sawa na wengine usigeneralize. Kama unajiona inferior hilo ni tatizo lako binafsi sio la wote.
Simzungumzii mtu mmoja mmoja, soma maelezo nilio andika kabla ya ku comment mkuu; well, nitajie nchi yoyote inayo kaliwa na weusi duniani na imeendelea kuwazidi Wazungu au watu weupe. Na kwenye maelezo yangu hapo juu nimezungumzia excuses ya weusi wengi kwamba tupo masikini (kama nchi sio individuals) kwasababu ya ukoloni, nimetolea mifano ya nchi nyingi ambazo si za weusi Vs na za weusi kwamba nazo pia zilitawaliwa kama sisi, why wao wametoka na weusi bado hatujatoka!? Mbaya zaidi hizi nchi za weusi zina rasilimali nyingi zaidi kuliko hata huko kwa weupe but still we depend on everything from them, WHY, HOW!?
 
Back
Top Bottom