Ni kweli Waafrika tunastahili jina hili?

najua mkuu bt ukitaka kumficha mwafrika weka ujumbe kwenye vitabu bt mwaka 60 karb robo 3 ya dunia ilikuwa uchumi ni sawa dubai mwaka 60 ilikuwa kijiji cha wavuvi bt nw dubai ni zaid ya europe tazama je ni cc 2 ndo 2nanyonywa mbona middle east ni wazung ndo wanachimba mafuta? lakn jamaa uchumi wao mzr hv kati ya black &arab mzung ana m hate nan?

nasikitika kwanza kwakuwa wewe ni mtu wa Africa asiyeona tatizo lilipo. tunaonewa.

fikiri juu ya jambo dogo kama democracy... nionyeshe vyama vingi kwenye demokrasia? unaamini Tanzania imekuwa nchi ya kidemokrasia baada ya 1992? huu ni upandikizaji wa utengano ambao Africa tumeukubali bila kuupima.unity means strength.. hatuelewi nini kwenye maneno haya?

kwenye siasa ya vyama vingi kwa nchi za kiafrika tunatoa nafasi ya watu kuchagua vyama si potentials ambazo candidate anakuwa nazo. hauwezi kuendelea wakati wabunge 200 kila mmoja anataka barabara ya jimbo lake iwekwe lami ili apate sera uchaguzi unaofuatA. yawezekana barabara kwenda sehemu fulani si muhimu kama kupeleka miradi ya maendeleo kwa vijana lakini barabara inaonekana na tunahisi ni kipimo cha ubora wa kiongozi tunampa kura mtu anayejenga barabara...

Europe imekua kwenye damu za watumwa wa ma bourgeoisie. si demokrasia. wasitudanganye democracy inakuza watu.

Latin America pia inashida kama zetu.. sehemu kubwa ya Asia pia.

anayekwambia Waafrika sisi ni wapumbavu muulize kwanini lumumba aliuwawa? kwanini walishirikiana na mkaburu huku wanajua ni muuaji wakati wa Botha.? kwanini wanapandikiza chuki kati ya mataifa jirani ndani ya Africa?

huyo mjerumani aliyekwambia hivyo alisema ukiwa umefungwa mikono au?
 
Je,ni miaka mingapi wao wametumia kujijenga hadi kufikia vile walivyo? Na ni njia gani waliyotumia hadi leo hii waseme sie ni wavivu ndiyo maana hatuendelei?
 
jamiii 4 duniani? Yani
1 wazungu
2 Mongolians (Chinese&Japanese& Koreans) na wote wenye macho madogo a.k.a ASIAN 3 Arabs&Indians
4 blacks

Ukweli unauma lakini ukweli ni kwamba sisi weusi kweli tunafanana na Ngedere/Sokwe/Nyani, hiyo ni generalization na huenda kwa weusi kutoka bara la afrika ususani Tanzania tumependelewa kuwa na akili kama ngedere.
Kila bara lina watu wachache weusi na mazingira uwasaidia kutofautisha kiwango cha ungedere wao, kwa Tanzania ukiondoa huo ungedere pia tuna tabia za mnyama nyumbu.

Nyumbu anaongoza kwa kusahau, anaweza akawa anakimbizwa na Simba akikumbuka hajala na kapata harufu ya majani mazuri kwa chakula anasimama kuanza kuyala.

Vile vile wanafiki na tuna tabia ya mbwa kumuheshimu yule anayekupatia chakula bila kujali madhara anayosababisha katika jamii.

Tunaongea yale tu tunayofikiri waongozi wetu, au wakuu wetu katika maeneo tunayotegemea kupata ridhiki yatawafurahisha na hayoto wachukiza hata kidogo.

Tabia ya nguruwe demu wake anachapwa hapa na yeye anakula chakula jirani, na baadae kuogopa kuuliza kwa kuhofia kupoteza ndoa.

tunasogeza siku hapa duniani
 
Ukweli unauma lakini ukweli ni kwamba sisi weusi kweli tunafanana na Ngedere/Sokwe/Nyani, hiyo ni generalization na huenda kwa weusi kutoka bara la afrika ususani Tanzania tumependelewa kuwa na akili kama ngedere.
Kila bara lina watu wachache weusi na mazingira uwasaidia kutofautisha kiwango cha ungedere wao, kwa Tanzania ukiondoa huo ungedere pia tuna tabia za mnyama nyumbu. hahahahahahaha nyani mvua ikimnyeshea analia kwa uchungu utadhani ikikatita tu anajenga hata kijumba cha nyasi

Nyumbu anaongoza kwa kusahau, anaweza akawa anakimbizwa na Simba akikumbuka hajala na kapata harufu ya majani mazuri kwa chakula anasimama kuanza kuyala.

Vile vile wanafiki na tuna tabia ya mbwa kumuheshimu yule anayekupatia chakula bila kujali madhara anayosababisha katika jamii.

Tunaongea yale tu tunayofikiri waongozi wetu, au wakuu wetu katika maeneo tunayotegemea kupata ridhiki yatawafurahisha na hayoto wachukiza hata kidogo.

Tabia ya nguruwe demu wake anachapwa hapa na yeye anakula chakula jirani, na baadae kuogopa kuuliza kwa kuhofia kupoteza ndoa.

tunasogeza siku hapa duniani
hahahahahahhahahah nyani mvua ikinyesha analia kwa uchungu sana utadhani ikikatika tu anajenga nyumba ya miti bt ikikatika tu anaruka kwa furaha na kuruka mti mmoja baada ya mwingine amesha 4get tabu yote
 
mleta mada pamoja na uafrika wako inaoneka hujijui wewe ni nani?nani kakuambia africa lazima ijifananishe nahao wazungu wako?africa is for africa you cant compare it with any race or any continent ,hao wote wanafanya brain washing tu africa haihitaji bara lolote au race yoyote ni wanijipendekeza tu.jiulize kama tungekuwa inferior mbona tupo mpaka leo since the beginning?ukichoka kuishi africa nenda huko huko
mkuu najitambua na najijua mkuu bt ukweli cku zote utakuweka huru nilicho sema katika maelezo yangu je unaweza kuniambia kuna ki2 gani waafrika tunasingiziwa? leo tumekuwa na roho mbaya hata kwa watoto wetu leo chakula kizuri anakula baba nyama nzuri anakula baba mfano ww unatoka asubuhi nyumbani then unaenda kazini unakunywa supu asubuh then mchana unakula wali nyama na ukurudi jioni unajaziwa bakuli lako nyama watoto wako wanakula nyama moja moja hivi toka asubuh umekula nyama mchana nyama kwa nini usuwaachie watoto nyama zote hizo ni tabia za binadamu kweli ? au wanyama coz wanyama mwenye nguvu ndo anakula vizuri hata kama ajashiriki kukitafuta
 
Je,ni miaka mingapi wao wametumia kujijenga hadi kufikia vile walivyo? Na ni njia gani waliyotumia hadi leo hii waseme sie ni wavivu ndiyo maana hatuendelei?
mkuu wote 2metawaliwa na wazungu hata America nao walikuwa chini ya uingereza Australia ukizungumzia kujijenga mwaka 1960 robo tatu ya dunia uchumi ulikuwa equal mfano dubai mwaka 1960 kilikuwa kijiji cha wavuvi hata Zanzibar ilikuwa tajiri kwa dubai leo korea Malaysia Singapore Indonesia wametuzidi wkt 2likuwa nao sawa ? nani wa kulaumiwa kama IMF na WORD BANK hata Malaysia Singapore nao inawahusu pia je huyu msomi wa PHD au profesa waziri anakwenda kusaini mkataba wa 3% kwa 97% kwa mwekezaji nae word bank na IMF wamemtuma kufanya hvyo? leo anakuja mtu bandari anampa fedha ofisa wa TFDA million 20 apitishe mchele mbovu then unaingia mtaani huyu afisa amesha sahau kuwa mchele ule ndugu zake wanaweza wakaununua dukani kwa mangi na kula ? JE huyu word bank imemtuma? tumekuwa na excuse ya IMF na word bank sana bt kuna vitu vingne imf na word bank awahusiki ni epidomea yetu inatusumbua tu
 
mazafaka ngozi nyeupe.......
we tukana tu bt wakiamua leo Tanzania mambo yasimame wanaweza leo hata net ya kujifunika wewe na mke wako ni kwa msaada wa watu wa marekani
 
Duh, inauma kweli.
Wanasema Burkina Faso walikubaliana na asili ya uumbaji kuwa ni bora wakaumia baadhi yao kwa muda huu kuliko kukubaliana na maumivu ya kizazi kizima. Pia nchi ndogo kama Burundi naona wanajaribu kumpinga huyo mzungu ambaye izzo aliongea naye kwa kuonyesha kuwa japo wanaishi katika dhiki lakini akili yao inaweza kujua jema na baya na kuelewa kuwa wana ya katiba - hapo naongelea siasa. Angalau hawa weusi wenzetu wamepiga hatua moja kati ya maili 10,000 wanazotakiwa kutembea.
dah bora wewe mkuu c unamuona ndege ameweza mpaka kupika chai na chumba na sebure juu ya mti now anapiga chai hahahahahahahahahahaha
 
mkuu wote 2metawaliwa na wazungu hata America nao walikuwa chini ya uingereza Australia ukizungumzia kujijenga mwaka 1960 robo tatu ya dunia uchumi ulikuwa equal mfano dubai mwaka 1960 kilikuwa kijiji cha wavuvi hata Zanzibar ilikuwa tajiri kwa dubai leo korea Malaysia Singapore Indonesia wametuzidi wkt 2likuwa nao sawa ? nani wa kulaumiwa kama IMF na WORD BANK hata Malaysia Singapore nao inawahusu pia je huyu msomi wa PHD au profesa waziri anakwenda kusaini mkataba wa 3% kwa 97% kwa mwekezaji nae word bank na IMF wamemtuma kufanya hvyo? leo anakuja mtu bandari anampa fedha ofisa wa TFDA million 20 apitishe mchele mbovu then unaingia mtaani huyu afisa amesha sahau kuwa mchele ule ndugu zake wanaweza wakaununua dukani kwa mangi na kula ? JE huyu word bank imemtuma? tumekuwa na excuse ya IMF na word bank sana bt kuna vitu vingne imf na word bank awahusiki ni epidomea yetu inatusumbua tu

usijidanganye kuhusu kuwa hali moja na nchi za Asia. elewa kwanza unapoongelea maendeleo China imeanza kupiga hatua zamani kuliko hata ulaya. nchi za Asia si sawa na nchi za Africa ya joto. soma kitabu cha false start in Africa cha rene Dumont uone jinsi Africa inavyolazimishwa kufanya baadhi ya mambo. tatizo nadhani si mpenzi wa kufuatilia siasa za dunia kwa ujumla. pengine hata Walter Rodney mguiyana aliyeishi hata hapa Tanzania na kufundisha udsm ameongelea kinaganaga juu ya kipi kinafanya watu wawageuke Waafrika wenzao na kuside line na wazungu kwenye unyonyaji.

sikatai kuwa wenzetu wanapiga hatua kuliko sisi ila sisi tunavikwazo vingi kuliko wao. china imekua kwa kufanya kazi kwa bidii mno.pengine hatujafikia jitihada zao.

kwani tatizo la unyonyaji linafanywa na IMF NA WB peke yake maana naona unayataja kama vikwazo pekee.hawa wametuharibu kwenye mfumo ili wenzao ambao ni wafanyabiashara kama hao wanaoingiza mchele nchini wapate nafasi hiyo.

tatizo si IMF na wb pekee ni ulaya na marekani kwa ujumla
 
mkuu sawa bt kama mwaka 1960 robo 3 ya dunia uchumi ulikuwa sawa na hizo nchi za asia mfano Singapore Malaysia mpaka Korea katika nchi zote nilizo zitaja hapo juu hawana resources kama zetu cc tuna kila ki2 bt ni walalamishi sana japani na china wanafanya kazi sana ni kazi ndo zimewafanya kufika hapo leo africa kila m2 analalamika kuanzia baba wa familia mpaka rais nae analalamika mwaka 1961 2napata uhuru kulikuwa na viwanda vingi Tanganyika peckers nyama zake ziliuzwa mpka Sweden ulikuwa uwezi kutembea kuanzia airport mpaka mnazi mmoja ujapata kazi katika vwanda ya barabara ya nyerere road now wht ???? leo mpaka net ya kulalia na mkeo ni kwa msaada wa watu wa marekani leo ukitaka kibali flani njoo kesho ni nyingi kwenye ofice za umma je ni world bank au imf ndo wametufundisha hvyo ? kwa africa boss ndio mtu wa kukaa ofisini na kusoma magazeti lakini kwa wenzetu boss ndio mtu mwenye kazi nyingi kuliko wafanyakazi jiulize kama wamarekani wangetuachia cc tufanye upelelezi wa mabomu ya mwaka 1998 ni watu wangapi leo wangekuwa jela ?? lakini walivyo kuja wenyewe ilikuwaje? ni africa pekee ambae mtu aliefoji vyeti anaweza fanya kazi mpaka anastaafu akuna m2 aliemshitukia je jiulize fake inaweza kukaa na original ? no jibu ni fake kwa fake ndizo zinaweza kukaa pamoja they say birds of the same flock fly together
 
Back
Top Bottom