Mkuu naomba ugusie na hapo kwenye nguvu ya dollar kwa sasa..ni kweli inaanza kushuka na ruble kuja juu kwa kasi?Marekani ushawishi wake upo kwenye hela yake tu, kile china na urusi wanachokifanya walitaka kufanya marais kadhaa wakaambulia kitanzi. Marais hao ambao walijaribu nikiwa na akili timamu ni ghadafi maana alitaka kuanzisha golden ruby, saddam hussein alitaka kuanzisha kuuza mafuta kwa pesa yake kilichofuata ni wote hatunao kwa sasa.
Hii sasa akiponyoka kwa mrusi nitakuwa sina matumaini tena ya yeye kuanguka. Kwa sasa china na mrusi wana swift ya kwao. Marekani dola yake anamimashine inaprint usiku na mchana. Jaribu nchi ingine ujinga huo utaona kitakachotokea. Alijaribu mwamba mmoja zimbabwe huko, ilibidi atumie hela ya southafrica kujinasua.
Siipendi marekani kutoka moyoni japo natamani kuishi marekani
Nafikiri hiyo ndio inayomtofautisha Us na hao wengineUtofauti wa usa na hizo tawala..yeye kaweka freedom for everything..sio taifa la kidini mana katika hili aliweka freedom of religion..hatakama usa lina mlengo wa kikristo lakini hutasikia linamzuia mwenye imani yoyote kuishi nchini humo na kuamini anacho kiamini..ndiomana usa imekua ni kimbilio la wengi waliokuwa wakiteshwa na kuonewa katika mataifa mbalimbali kwa milengo yao ya kiimani..kirangi ama kiitikadi.
Hii ndio power kubwa na msingi mkubwa wa usa..na hao raia wa usa hawawezi katu ruhusu usa ianguke mana usa ndio taifa linalomkaribisha kila mtu ulimwenguni kuishi kwa amani.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Acha kukariri dogo, nchi kuwa na uchumi mkubwa pekee si kigezo cha kuwa na ushawishi mkubwa duniani. Ukiangalia takwimu za nchi zenye ushawishi mkubwa duniani na nchi zenye uchumi mkubwa duniani ndio utaelewa. Huwa mnapenda kupayukapayuka pasi na uelewa wa mambo wala data!Uchumi makubwa ndiyo sauti ya Mmarekani. Unadhani huo ushawishi ulikuja tu. Uwezo wa Marekani kiuchumi ulisababisha uwezo kijeshi na kisiasa duniani.
Bila uchumi mkubwa na imara ushawishi ungetoka wapi.
Jaribuni kuchambua hoja kikomavu.
Marekani ni kama maji usipo yanywa utayaoga..karibu sana usa a land of opportunities.Marekani ushawishi wake upo kwenye hela yake tu, kile china na urusi wanachokifanya walitaka kufanya marais kadhaa wakaambulia kitanzi. Marais hao ambao walijaribu nikiwa na akili timamu ni ghadafi maana alitaka kuanzisha golden ruby, saddam hussein alitaka kuanzisha kuuza mafuta kwa pesa yake kilichofuata ni wote hatunao kwa sasa.
Hii sasa akiponyoka kwa mrusi nitakuwa sina matumaini tena ya yeye kuanguka. Kwa sasa china na mrusi wana swift ya kwao. Marekani dola yake anamimashine inaprint usiku na mchana. Jaribu nchi ingine ujinga huo utaona kitakachotokea. Alijaribu mwamba mmoja zimbabwe huko, ilibidi atumie hela ya southafrica kujinasua.
Siipendi marekani kutoka moyoni japo natamani kuishi marekani
Samahani mkuu...hizo namba zina maana gani hapo kwenye nchi zenye ushawishi na zinapatikanajeAcha kukariri dogo, nchi kuwa na uchumi mkubwa pekee si kigezo cha kuwa na ushawishi mkubwa. Ukiangalia takwimu za nchi zenye ushawishi mkubwa duniani na nchi zenye uchumi mkubwa duniani ndio utaelewa. Huwa mnapenda kupayukapayuka pasi na uwlewa wa mambo wala data!
Urusi haimo kwenye top ten ya nchi zenye uchumi mkubwa duniani, lakini ni ya tatu kwa ushawishi Duniani na haijatofautiana sana kiviwango na Marekani (zote zime-score 98; US ikiwa na 98.53, Urusi ikiwa na 98.28)
View attachment 2339497
View attachment 2339496
Vipi kama wana malengo yao?Wazungu wana IQ ndogo sana
Wasalaam wana JF Nikitafakari namna mgogoro wa Urusi na Ukraine ulivyokuwa handled na madhara ambayo wanayapata kwa kujitakia. Ninashawishika bila shaka yoyote kuamini hawa watu wana IQ ndogo sana. Kipimo cha akili ya mwanadamu ni namna anavyokabiliana na mazingira yake ikiwa ni pamoja na...www.jamiiforums.com
Samahani mkuu...hizo namba zina maana gani hapo kwenye nchi zenye ushawishi na zinapatikanaje
Malengo ya kuwa masikini?Vipi kama wana malengo yao?
Kwa hiyo unataka kusema nini ?Congress shall make no law respecting an establishment of religion, or prohibiting the free exercise thereof; or abridging the freedom of speech, or of the press; or the right of the people peaceably to assemble, and to petition the Government for a redress of grievances.
-US constitution, first ammendment.
Ikifika muda wa kuanguka ita anguka tu no matter what.Utofauti wa usa na hizo tawala..yeye kaweka freedom for everything..sio taifa la kidini mana katika hili aliweka freedom of religion..hatakama usa lina mlengo wa kikristo lakini hutasikia linamzuia mwenye imani yoyote kuishi nchini humo na kuamini anacho kiamini..ndiomana usa imekua ni kimbilio la wengi waliokuwa wakiteshwa na kuonewa katika mataifa mbalimbali kwa milengo yao ya kiimani..kirangi ama kiitikadi.
Hii ndio power kubwa na msingi mkubwa wa usa..na hao raia wa usa hawawezi katu ruhusu usa ianguke mana usa ndio taifa linalomkaribisha kila mtu ulimwenguni kuishi kwa amani.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Watu humu wanashindwa kujibu swali la mleta mada Ila wanaleta ngonjera zisizo kuwa na maana.Acha kukariri dogo, nchi kuwa na uchumi mkubwa pekee si kigezo cha kuwa na ushawishi mkubwa duniani. Ukiangalia takwimu za nchi zenye ushawishi mkubwa duniani na nchi zenye uchumi mkubwa duniani ndio utaelewa. Huwa mnapenda kupayukapayuka pasi na uelewa wa mambo wala data!
Urusi haimo kwenye top ten ya nchi zenye uchumi mkubwa duniani, lakini ni ya tatu kwa ushawishi Duniani na haijatofautiana sana kiviwango na Marekani (zote zime-score 98; US ikiwa na 98.53, Urusi ikiwa na 98.28)
View attachment 2339497
View attachment 2339496
Ninakukumbusha mkuuKila lenye mwanzo lina mwisho.
Nakumbuka mkuu! Jioni nitakupa majibu.Ninakukumbusha mkuu
BarikiwaNakumbuka mkuu! Jioni nitakupa majibu.
Kauli simple hizi sio za kutoa hapa mkuuMarekani ni kama maji usipo yanywa utayaoga..karibu sana usa a land of opportunities.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Nchi kuwa na ushawishi pia inachangiwa pia na ushiriki wake katika mambo fulani mfano Russia mchango wake katika kutambulisha falsafa za kijamaa na mataifa mengine kuwa influenced na kufuata mfano China, mataifa ya Ulaya mashariki, Korea , Cuba , mataifa mbalimbali ya Afrika na mataifa mbalimbali duniani kitu kilicho zalisha pande mbili duniani [ Magharibi [ ubepari/ U.S.A na washirika wake mfano U.K n.k] na mashariki [ujamaa/ Russia na washirika wake mfano China n.k] pia mchango wa Russia katika kukomesha ukoloni sehemu mbalimbali duniani.Samahani mkuu...hizo namba zina maana gani hapo kwenye nchi zenye ushawishi na zinapatikanaje