DENG XIAOPING
JF-Expert Member
- Mar 6, 2022
- 2,392
- 2,599
Unafahamu kuwa dola la Kirumi lilishikisha na kanisa la Kirumi [ R.C ] , dola la kiottoman lilishikisha na dini ya kiislamu mbona hizi dola zote zilianguka licha ya kuwa zilijishikisha na dini [ Kristo & Kiislamu ] dini zinazo muani Mungu ambaye huyo huyo U.S.A amejishikisha kupitia dini ya kikristo ?Walioanzisha usa hawakua wajinga..walijua nini kiliangusha falme na mataifa makubwa zamani..hivyo ndio mana walikuja na kitu kinaitwa i God we trust.
Na kuweka freedom ya kila mtu kuishi na kuamini kile anachokiamini chamsingi asivunje sheria za nchi.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mrithi wa U.S.A atatoka Afrika? Nchi gani hiyo ?Mpaka USA kapata status ya superpower ni kwa sababu masupa pawa kabla yake walitwangana hivyo kudondoka kiuchumi...kwa dunia inavyoenda IPO siku USA,China,Russia,UK,germany kitawaka na hapo ndipo mrithi wa USA atapatikana...AFRICA...huo ni mtizamo wangu binafsi kwa kuzingatia historian za nyuma..,.naweza kukosolewa
We naniii hii komenti yako ungelisubirishia kwanza uzi usogee sogee peji nyingi ili tuone maoni ya wengine pia.. Umeufunga uzi.Una elimu gani mkuu? Hii ni mada pana na ndefu kuidadavua.
U S A ushawishi wao kuanguka ni pale utakapoona anapigana vita na nchi zifuatazo, Germany, France, United Kingdom .
🤣🤣🤣🤣thanks mkuuWe naniii hii komenti yako ungelisubirishia kwanza uzi usogee sogee peji nyingi ili tuone maoni ya wengine pia.. Umeufunga uzi.
Bwana alitoa na bwana ametwaa!Kila lenye mwanzo lina mwisho.
Kila lenye mwanzo lina mwisho.
Unafahamu kuwa dola la Kirumi lilishikisha na kanisa la Kirumi [ R.C ] , dola la kiottoman lilishikisha na dini ya kiislamu mbona hizi dola zote zilianguka licha ya kuwa zilijishikisha na dini [ Kristo & Kiislamu ] dini zinazo muani Mungu ambaye huyo huyo U.S.A amejishikisha kupitia dini ya kikristo ?
Hivi urusi njaa hakuna?Marekani sasa hivi ipo busy kupambana na njaa inayohatarisha maisha ya mamilioni ya wamarekani
'SuperPower' alalamika 'njaa': Ikulu 'nyeupe' yaitisha kongamano rasmi kujadili namna ya kupambana na adui mpya 'njaa' anayelitafuna taifa
Duh...kweli adui yako mwombee njaaa! Hivi kweli 'SuperPower' wetu kafikia hatua ya kulialia njaa?! Hadi Ikulu 'kubwa' kuitisha kongamano rasmi la kujadili namna ya kupigana vita na adui mpya 'njaa' anayesumbua taifa teule! Kweli maajabu hayaishi dunia hii. Asante sana Urusi kumvua nguo Super...www.jamiiforums.com
Hivi urusi njaa hakuna?
Sielewi ulitaka kusema nn.Unaongea tu kinachokujia kichwani mwako hata km hujui kitu kuhusu Vita ya Ukraine .Marekani hakuwa na ushawishi wowote,Ila alikuwa anaogopwa kwa sababu ya propaganda zake.Lakini vita ya Ukraine imemvua nguo.Si unaona SADC juzi walivyomdindia!.
Uchumi makubwa ndiyo sauti ya Mmarekani. Unadhani huo ushawishi ulikuja tu. Uwezo wa Marekani kiuchumi ulisababisha uwezo kijeshi na kisiasa duniani.Ushawishi ni kitu kingine, na GDP kubwa ni jambo jingine...
Sielewi ulitaka kusema nn.Unaongea tu kinachokujia kichwani mwako hata km hujui kitu kuhusu Vita ya Ukraine .
Siyo Lazima kuchangia, unaweza kusoma tu komenti za wengine.
Utofauti wa usa na hizo tawala..yeye kaweka freedom for everything..sio taifa la kidini mana katika hili aliweka freedom of religion..hatakama usa lina mlengo wa kikristo lakini hutasikia linamzuia mwenye imani yoyote kuishi nchini humo na kuamini anacho kiamini..ndiomana usa imekua ni kimbilio la wengi waliokuwa wakiteshwa na kuonewa katika mataifa mbalimbali kwa milengo yao ya kiimani..kirangi ama kiitikadi.Unafahamu kuwa dola la Kirumi lilishikisha na kanisa la Kirumi [ R.C ] , dola la kiottoman lilishikisha na dini ya kiislamu mbona hizi dola zote zilianguka licha ya kuwa zilijishikisha na dini [ Kristo & Kiislamu ] dini zinazo muani Mungu ambaye huyo huyo U.S.A amejishikisha kupitia dini ya kikristo ?
Yes..but kwa usa sio leo wala kesho..endeleeni kujipa moyo.Ilitakiwa uzi ufungwe baada ya hii coment.