Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 3,165
- 5,825
Ni matumaini wote ni wazima na mnaendelea na shughuli zenu za kila siku. Kwanza kabisa sihitaji vitisho, maubiri wala blah blah zozote. Kama kichwa cha habari kinavyosema, ni kweli ukimtumikia shetani anakupa mali?
Nahitaji kujua hili suala kutoka kwa mtu mwenye uzoefu kivitendo yaani ashawahi kufanya na akapata matokeo, sihitaji story za kusikia na kukalilishwa tu.
Kama jibu ni ndiyo basi nitahitaji muongozo na procedures zote ambazo nitatakiwa kufuata. Kama inashindikana hapa hata mhusika akija inbox ni sawa.