Ni kweli ukimtumikia shetani anakupa mali?

Ni kweli ukimtumikia shetani anakupa mali?

You have got to sell your soul to the devil !
Au hujui hata wale waigizaji na producers WA Hollywood nao wameuza roho zao Kwa Lucifer ?
Nipo tayari kwa lolote nahitaji muongozo na hatua zote za kufuata nijue naanzia wapi namalizia wapi. Kama una uzoefu nipe madini mkuu
 
You have got to sell your soul to the devil !
Au hujui hata wale waigizaji na producers WA Hollywood nao wameuza roho zao Kwa Lucifer ?
Hizi nazo ni propaganda tuu na stori za vijiweni hazina ushahidi wowote. Kitu kitakachokutoa kwenye umasikini ni kutafuta channel ya hela kwa nguvu zote kutumia nyenzo zozote ulizo nazo ikiwepo kipaji kama unacho.
 
Nimemtegemea sana na sasa nakaria 30 ramani hazisomeki mtaani. Nimeona nibadilishe upande
Hapo unapokatia tamaa mafanikio yako mbele yako huko unakohamia unaenda kuanza upya! Kupanga ni kuchagua na kuchagua ni kupanga make hata huko uendako bado huna uhakika wa kutoboa.
 
Hapo unapokatia tamaa mafanikio yako mbele yako huko unakohamia unaenda kuanza upya! Kupanga ni kuchagua na kuchagua ni kupanga make hata huko uendako bado huna uhakika wa kutoboa.
Naweza kukomaa na ikawa sio njia sahihi. Ndio maana nikataka muongozo wa aliefanya kwa vitendo na akafanikiwa sio story na blah blah za kusikia na kukalilishwa
 
Back
Top Bottom