NI KWELI TOO BUSY AU UZEMBE WA MA IT WETU

Mkuu servers zao ndo hazina uwezo wa kutosha. Nadhan unaonaga hata kipnd cha kuangalia matokeo ya sekondari, hua servers zinakua overloaded kutokana na request nyngi. Ila tuvumilie tu coz ndo Tanzania tuliojengewa hio.
Nadhani bado sio sahihi jk alitopesa nyingi akajenga server ya serikali maanake idara na taasisi zote za kiserikali taarifa zake zihifadhiwe huko ilikuuepuka kutapakaa kwa taarifa za kiserikali
 
Ni uzembe na watu wa IT kutokuwa na ujuzi wa kutosha.

Ni kawaida ya Tanzania kila idara ya serikali. Incompetence.
Bado serikali haiwaandai ma IT wetu kuwa competent hatuja chukulia hii fani Katika usiriasi unaotakiwa!! Hatuna waalimu wabobezi wakutosha Katika hii fani ma IT wazuri wengi wamesoma nje ya Tanzania
 
Bado serikali haiwaandai ma IT wetu kuwa competent hatuja chukulia hii fani Katika usiriasi unaotakiwa!! Hatuna waalimu wabobezi wakutosha Katika hii fani ma IT wazuri wengi wamesoma nje ya Tanzania
Si huko tu kwenye IT ni pote.
 
Back
Top Bottom