NI KWELI TOO BUSY AU UZEMBE WA MA IT WETU

Of coz hili nalo linaweza kuchangia. Lkn hivi servers za jamiiforums ziko hapa bongo kweli?? Kama zipo bongo basi wao wanatumia mtandao gn coz sio kwa kuwa fast hivi na ukiangalia jamiiforum ndo mtandao/web unaopata traffic kubwa hapa bongo.
Server za Jamii Forums hazipo Bongo, nahisi kama Germany au Sweeden.
 
Tuludi kuwafahamu chuoni wanatumia lugha gani kujifunzia Web disign na ulimwengu wanatumia nini kuunda website.
 
Habari zenu wakuu.......

napenda kujua hizi system tunazotumia mfano hii ya kuomba ajira.... inasumbua sio kidogo... sometimes hata kufunguka tu tabu.... sikwambii kwenye kuapload vyeti hapo ndo watu wanakesha bila mafanikio...

hivi ni kweli watumiaji ni wengi kiasi hicho mapaka watu wanasumbuka bila mafanikio au system ni mbovu??...

why mitandao mengine wanatumia watu wengi sana karibu dunia nzima lakini haisumbui???

lakini hizi za kwetu hata necta watangaze siku ya kwanza matokeo ni kazi sana kuingia kwenye ukurasa huo...

mwisho naomba tutoe suluhisho nini iwe tiba ya hili??? maana kuomba ajira online ilitakiwa iwe jambo la dakika tano tu ukishakuwa na document zako umeshaziandaa.... lakini hapa ni kama adhabu... unakesha na hufanikuwi

naomba kuwasilisha...
Hapa kuna vitu vingi vinachangi ,lakini nitazungumzia kwa uchache sana
1)Website nyingi za kibongo zinadesigniwa vibaya sana ,hii inachangia website kuwa slow ,mfano kwenye designing kuna kitu tunaita CSS (cascade stylesheet) mtu anapodesign inatakiwa atumia in line CSS and not Multiple CSS wakati hamna ulazima wa kufanya hivyo ,pia kuweka comments nyingi zisizo kuwa na ulazima ,hii itasaidia website kuwa slow.
2) queuing kwenye document request ,website au system nyingi zinadesigniwa kwa mfumo wa user locks and blocking, hii inamaana kwamba hakuna parallelisms katika access ya information kwenye system ,yani user mmoja akiingia inatakiwa asubiriwe mpaka amalize ndipo wa pili apate access.
3)Hosting ,website nyingi za kibongo zikiwepo za serikali wanatumia Webhoster wamagumashi yani wengi wapo kwenye package za shared na sio dedicated server ,so hii inafanya uwezo wa server kuwa weak katika kuhifadhi file ,kwa sababu kwenye hosting inatakiwa uwe na bandwidth kubwa endapo unajua website yako itakuwa na watembeleaji wengi. Kwa ushauri wowote unaweza kuja kikashani ili kubadilishane mawazo zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
site
Habari zenu wakuu.......

napenda kujua hizi system tunazotumia mfano hii ya kuomba ajira.... inasumbua sio kidogo... sometimes hata kufunguka tu tabu.... sikwambii kwenye kuapload vyeti hapo ndo watu wanakesha bila mafanikio...

hivi ni kweli watumiaji ni wengi kiasi hicho mapaka watu wanasumbuka bila mafanikio au system ni mbovu??...

why mitandao mengine wanatumia watu wengi sana karibu dunia nzima lakini haisumbui???

lakini hizi za kwetu hata necta watangaze siku ya kwanza matokeo ni kazi sana kuingia kwenye ukurasa huo...

mwisho naomba tutoe suluhisho nini iwe tiba ya hili??? maana kuomba ajira online ilitakiwa iwe jambo la dakika tano tu ukishakuwa na document zako umeshaziandaa.... lakini hapa ni kama adhabu... unakesha na hufanikuwi

naomba kuwasilisha...
site zote za kiserikali zinaundwa na kusimamiwa na E Gov.Uzoefu,umakini na weledi wa ICT walio nao uwezi ufananisha na nchi kama UK na USA.(pia ikumbukwe kuwa ata huko Ulaya kuna ishu zingine serikali ina outsource huduma ) hapa hapana.....mimi naona hili ndo tatizo....je site zetu zilizopo chini ya E Gov zina usalama wa aina gani??? how far how strong our IT team is capable in guarding CRITICAL INFRASTRUCTURES🤔🤔🤔
 
Ni uzembe na watu wa IT kutokuwa na ujuzi wa kutosha.

Ni kawaida ya Tanzania kila idara ya serikali. Incompetence.
TRUE na awataki kutafuta wanaojua vitu wanaforce wafanye kila kitu...ipo siku serikali mtandao itakuja kuwa hacked for few days ndipo watakapotia akili...na sio mbali sana
 
Walimu poleni.. BINAFSI NILIGOMBANA NA MAZA KISA KUSHIKA CHAKI NA MASHATI MIKONO MIREFU KAMA WALOKOLE WA UYOLE...
UALIMU KIUKWELI NI KAZI AMBAYO INADHARAULIKA INGAWA IKO NA MCHANGO MKUBWA SANA KATIKA MAISHA YETU..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Server kama server inahusikaje hapo?? Embu eleza kidogo.
Ntaelezea kwa kua umetaka. Tuvumiliane kama hutoelewa baadhi ya terms unaweza kuzigoogle

Server ni computer inayobeba files ambazo ndizo programs ya hio system(php files, html files,js files etc...) sasa Server hio inakua connected na watumiaji (clients) kupitia Internet(Au njia nyngne yyt)

Server ndio inapokea requests za users/clients afu inafanya processing thn inatuma output. Kuhusu swala la speed hapa inategemea yafuatayo

1)SPEED YA PROCESSOR YA SERVER PAMOJA NA RAM YAKE
-hapa hata kama intanet speed ya server iko vzr lkn kama Server yenyewe ina processing speed ndogo au ram ndg basi system bado itakua slow kwa kiwango fln

2)SPEED YA MTANDAO WA SERVER NA WA USER
-Hii sitoelezea sana coz nafahamu wengi wanajua. Kama mtandao wa server una kasi nzuri (mbps) basi hapo mambo ni mashallah.

3)CRAZY AND NON-SMART ALGORITHMS NDANI YA SYSTEM.
-Na hili ndo nafikiria kuwa ni tatizo kubwa hapa bongo.
Unajua programmers wengine wakiwa wanatengeneza programs hawaangaliii efficiency ya hio algorithm (Tuiite program ili twende sawa). Programs nyng zinaweza kuperform kazi moja ila hua tunaangalia kwanza efficiency katika kuchagua tutumie program au algorithm ipi...

Kuna huu mfano hua unatumika sana kuongelea swala la efficiency katika codes/programs/algorithms(WORST CASE SCENARIO)

Chukulia wewe upo Dar na Morogoro kuna online shop X inayouza cd na kuzituma mikoani including ww ulipo (Dar). Pia kuna website Y ambayo unaweza kudownload High Quality ya movie ambazo zinauzwa na online shop X.

Sasa ww ukitaka labda movie kama 'BLACK PANTHER' unakua una options mbili, Aidha uidownload kutoka website Y au uinunue na utumiwe kutoka online shop X. Hapa mtu atachagua option ya kudownload coz kudownload movie moja ya 1.2 gb inachukua kama masaa mawili tu, lkn ukinunua mtandaoni itachukua masaa sita kutumwa from morogoro to dar.

Ila inshu inakuja hapa, kama ww unataka movie nyingi kama nane hv (BLACK PANTHER, KARATE KID, PIRATES OF THE CARRIBEAN, FAST N FURIOUS 2 hadi 7) na hizo movie zote katika high quality zinachezea 1.2gb au 900mb. Sasa ukisema utumie option ya kudownload itakuchukua siku nzima kudownload hizo movies, lkn ukisema uchukue option ya kununua kutoka online shop X, basi utatumiwa mzigo wako(movies) ndan ya masaa sita kwani haijalishi unanunua movies ngp, zote hutumwa kwa mda uleule. Lkn kwenye option ya downloading 'the more the items, the more time is required for download'

So kama umenielewa hapo juu utaona downloading inachukua mda mfupi (faster) kama items ni chache(chukulia items ndio data au requests to the server) lkn kama items ni nyngi basi utaona online shopping ndo inachukua mda mfupi coz yenyewe hutumia masaa sita kutuma hizo items bila kujali ni items ngapi.

Sasa katika kutengeneza systems hilo swala inabidi liangaliwe lkn kwa nnavyoona kwa system hz za serikali waliofanya coding wali code tu ilimradi wametengeneza system bila kujali efficiency na inshu kama hizo za WORST CASE SCENARIO

4)Ntaishia na hii sababu ya nne. SERVER PIA IKIKOSA PARALLELISM LAZIMA IWE SLOW.
Hapa tunaangalia uwezi wa server kufanya multtasking.

Ili kunielewa chukulia ukumbi mkubwa A una mlango mmoja tu wa kuingilia/kutoka na ukumbi mwngine B una milango sita ya kuingilia/kutoka. Sasa jiulize ukumbi upi watu wakiwa wengi wataingia haraka zaidi na kiurahisi. Haoa ukumbi ni kama server, kuingia ni kama requests za users na milango ni kama parts zinazofanya processing.

CONCLUSION
Sio kila mara ukiona web/online system au app yyt iko slow basi tatizo ni mtandao. Kuna factors nyng sana zinazochangia hilo coz mtandao hauprocess data zako unazotuma bali mtandao unatengeneza tu pathway na unatuma data zako.

Hizo factors zote huunganishwa na system admins kwa relations mbalimbali (CALCULUS hutumika sana hapa) kutokana na mahitaji ya system afu wanakuja na conclusion ya specifications za computer na mtandao ambao inabidi utumike ili system ifanye kazi kama inavyotakiwa.

TATIZO KUBWA BONGO MA IT WETU WANATUPILIA MBALI MATHEMATICS WAKATI INAHITAJIKA SANA KTK HIZI MAMBO. HATA UKIANGALIA VYUO VINAVYOTOA KOZI ZA IT, UTAKUTA HAWATILII MKAZO SWALA LA UFAULU WA MATHEMATICS
 
Ila hawa OTEAS wamevunja rekodi, vijana wanahangaika sana na kila anaeulizwa hajafanikiwa kufanya application hata iwe usiku wa manane hii OTEAS iko kizembe sana.
Au mpaka hili anatakiwa rais kuingilia kati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TRUE na awataki kutafuta wanaojua vitu wanaforce wafanye kila kitu...ipo siku serikali mtandao itakuja kuwa hacked for few days ndipo watakapotia akili...na sio mbali sana
Mmmmh bro acha kuitishia gvt ya anko!!!!
 
site
site zote za kiserikali zinaundwa na kusimamiwa na E Gov.Uzoefu,umakini na weledi wa ICT walio nao uwezi ufananisha na nchi kama UK na USA.(pia ikumbukwe kuwa ata huko Ulaya kuna ishu zingine serikali ina outsource huduma ) hapa hapana.....mimi naona hili ndo tatizo....je site zetu zilizopo chini ya E Gov zina usalama wa aina gani??? how far how strong our IT team is capable in guarding CRITICAL INFRASTRUCTURES🤔🤔🤔
Tutabadilikaje?? ushauri kwa gvt!!!! maana hii OTEAS inatesa watu sio kitoto
 
umenena kisomi zaid!!!! nafikiri zinaweza kuwa sababu bila shaka
Ntaelezea kwa kua umetaka. Tuvumiliane kama hutoelewa baadhi ya terms unaweza kuzigoogle

Server ni computer inayobeba files ambazo ndizo programs ya hio system(php files, html files,js files etc...) sasa Server hio inakua connected na watumiaji (clients) kupitia Internet(Au njia nyngne yyt)

Server ndio inapokea requests za users/clients afu inafanya processing thn inatuma output. Kuhusu swala la speed hapa inategemea yafuatayo

1)SPEED YA PROCESSOR YA SERVER PAMOJA NA RAM YAKE
-hapa hata kama intanet speed ya server iko vzr lkn kama Server yenyewe ina processing speed ndogo au ram ndg basi system bado itakua slow kwa kiwango fln

2)SPEED YA MTANDAO WA SERVER NA WA USER
-Hii sitoelezea sana coz nafahamu wengi wanajua. Kama mtandao wa server una kasi nzuri (mbps) basi hapo mambo ni mashallah.

3)CRAZY AND NON-SMART ALGORITHMS NDANI YA SYSTEM.
-Na hili ndo nafikiria kuwa ni tatizo kubwa hapa bongo.
Unajua programmers wengine wakiwa wanatengeneza programs hawaangaliii efficiency ya hio algorithm (Tuiite program ili twende sawa). Programs nyng zinaweza kuperform kazi moja ila hua tunaangalia kwanza efficiency katika kuchagua tutumie program au algorithm ipi...

Kuna huu mfano hua unatumika sana kuongelea swala la efficiency katika codes/programs/algorithms(WORST CASE SCENARIO)

Chukulia wewe upo Dar na Morogoro kuna online shop X inayouza cd na kuzituma mikoani including ww ulipo (Dar). Pia kuna website Y ambayo unaweza kudownload High Quality ya movie ambazo zinauzwa na online shop X.

Sasa ww ukitaka labda movie kama 'BLACK PANTHER' unakua una options mbili, Aidha uidownload kutoka website Y au uinunue na utumiwe kutoka online shop X. Hapa mtu atachagua option ya kudownload coz kudownload movie moja ya 1.2 gb inachukua kama masaa mawili tu, lkn ukinunua mtandaoni itachukua masaa sita kutumwa from morogoro to dar.

Ila inshu inakuja hapa, kama ww unataka movie nyingi kama nane hv (BLACK PANTHER, KARATE KID, PIRATES OF THE CARRIBEAN, FAST N FURIOUS 2 hadi 7) na hizo movie zote katika high quality zinachezea 1.2gb au 900mb. Sasa ukisema utumie option ya kudownload itakuchukua siku nzima kudownload hizo movies, lkn ukisema uchukue option ya kununua kutoka online shop X, basi utatumiwa mzigo wako(movies) ndan ya masaa sita kwani haijalishi unanunua movies ngp, zote hutumwa kwa mda uleule. Lkn kwenye option ya downloading 'the more the items, the more time is required for download'

So kama umenielewa hapo juu utaona downloading inachukua mda mfupi (faster) kama items ni chache(chukulia items ndio data au requests to the server) lkn kama items ni nyngi basi utaona online shopping ndo inachukua mda mfupi coz yenyewe hutumia masaa sita kutuma hizo items bila kujali ni items ngapi.

Sasa katika kutengeneza systems hilo swala inabidi liangaliwe lkn kwa nnavyoona kwa system hz za serikali waliofanya coding wali code tu ilimradi wametengeneza system bila kujali efficiency na inshu kama hizo za WORST CASE SCENARIO

4)Ntaishia na hii sababu ya nne. SERVER PIA IKIKOSA PARALLELISM LAZIMA IWE SLOW.
Hapa tunaangalia uwezi wa server kufanya multtasking.

Ili kunielewa chukulia ukumbi mkubwa A una mlango mmoja tu wa kuingilia/kutoka na ukumbi mwngine B una milango sita ya kuingilia/kutoka. Sasa jiulize ukumbi upi watu wakiwa wengi wataingia haraka zaidi na kiurahisi. Haoa ukumbi ni kama server, kuingia ni kama requests za users na milango ni kama parts zinazofanya processing.

CONCLUSION
Sio kila mara ukiona web/online system au app yyt iko slow basi tatizo ni mtandao. Kuna factors nyng sana zinazochangia hilo coz mtandao hauprocess data zako unazotuma bali mtandao unatengeneza tu pathway na unatuma data zako.

Hizo factors zote huunganishwa na system admins kwa relations mbalimbali (CALCULUS hutumika sana hapa) kutokana na mahitaji ya system afu wanakuja na conclusion ya specifications za computer na mtandao ambao inabidi utumike ili system ifanye kazi kama inavyotakiwa.

TATIZO KUBWA BONGO MA IT WETU WANATUPILIA MBALI MATHEMATICS WAKATI INAHITAJIKA SANA KTK HIZI MAMBO. HATA UKIANGALIA VYUO VINAVYOTOA KOZI ZA IT, UTAKUTA HAWATILII MKAZO SWALA LA UFAULU WA MATHEMATICS
shukran sana mkuu
 
TRUE na awataki kutafuta wanaojua vitu wanaforce wafanye kila kitu...ipo siku serikali mtandao itakuja kuwa hacked for few days ndipo watakapotia akili...na sio mbali sana
Hao watafutaji wenyewe hawajuwi wanatafuta nini.
 
Sometomes tatizo ni Taasisi zetu,
Sidhani kama inaweza kutoa pesa nyingi kununua kitu Imara.

Watu wananunua server za bei raisi

Sent from my GT-N7000 using Tapatalk
 
Nioneshe taasisi au idara aushirika la umma Tanzania linalofanya kwa viwango vya hali ya juu kuliko binafsi.
 
KW
Sometomes tatizo ni Taasisi zetu,
Sidhani kama inaweza kutoa pesa nyingi kununua kitu Imara.

Watu wananunua server za bei raisi

Sent from my GT-N7000 using Tapatalk
kwani huwezi kutengeneza hizo sever??
 
Back
Top Bottom