ila tunaweza kubadilika na kumove!!!! mfano OTEAS hawana muda mwingi labda muwape ushauri aisee... wanatesa watuMkuu servers zao ndo hazina uwezo wa kutosha. Nadhan unaonaga hata kipnd cha kuangalia matokeo ya sekondari, hua servers zinakua overloaded kutokana na request nyngi. Ila tuvumilie tu coz ndo Tanzania tuliojengewa hio.
Futa neno afrika mkuu, SA, Egypt, Algeria, Angola na Nigeria zipo afrika kimaeneo tu ila mambo mengine heshima ziwafikietatizo ni mtandao katika server husika... africa katika swala la teknolojia tuko nyuma sana afu pia hata tools tunazotumia uimala wake ni hafifu.. tegemea janga kama ilo kutokea
Kuongezea hapo kuna jamiiforums pia, inahudumia mamilioni ya watu ila sijawahi kuona ikiwa slow sababu ya kuzidiwa.Futa neno afrika mkuu, SA, Egypt, Algeria, Angola na Nigeria zipo afrika kimaeneo tu ila mambo mengine heshima ziwafikie
Hili ndio neno sasa!Haya yatakua ni madhara ya kuwekana kazini kindugu bila kukali qualifications, Ni siku ya tatu hii watu wanalalamika..
Ongezea na ten percent kwenye manunuziHaya yatakua ni madhara ya kuwekana kazini kindugu bila kujali qualifications, Ni siku ya tatu hii watu wanalalamika..
Of coz hili nalo linaweza kuchangia. Lkn hivi servers za jamiiforums ziko hapa bongo kweli?? Kama zipo bongo basi wao wanatumia mtandao gn coz sio kwa kuwa fast hivi na ukiangalia jamiiforum ndo mtandao/web unaopata traffic kubwa hapa bongo.tatizo ni mtandao katika server husika... africa katika swala la teknolojia tuko nyuma sana afu pia hata tools tunazotumia uimala wake ni hafifu.. tegemea janga kama ilo kutokea
Hawa wanatesa atu sana!!!! ma IT wao wajitafakari....... labda wawe wanawafanyia watu kusudiOf coz hili nalo linaweza kuchangia. Lkn hivi servers za jamiiforums ziko hapa bongo kweli?? Kama zipo bongo basi wao wanatumia mtandao gn coz sio kwa kuwa fast hivi na ukiangalia jamiiforum ndo mtandao/web unaopata traffic kubwa hapa bongo.
Mkuu servers zao ndo hazina uwezo wa kutosha. Nadhan unaonaga hata kipnd cha kuangalia matokeo ya sekondari, hua servers zinakua overloaded kutokana na request nyngi. Ila tuvumilie tu coz ndo Tanzania tuliojengewa hio.
Sure,tatizo ni mtandao katika server husika... africa katika swala la teknolojia tuko nyuma sana afu pia hata tools tunazotumia uimala wake ni hafifu.. tegemea janga kama ilo kutokea