Kichaka12
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 296
- 259
Habari zenu wakuu.......
napenda kujua hizi system tunazotumia mfano hii ya kuomba ajira.... inasumbua sio kidogo... sometimes hata kufunguka tu tabu.... sikwambii kwenye kuapload vyeti hapo ndo watu wanakesha bila mafanikio...
hivi ni kweli watumiaji ni wengi kiasi hicho mapaka watu wanasumbuka bila mafanikio au system ni mbovu??...
why mitandao mengine wanatumia watu wengi sana karibu dunia nzima lakini haisumbui???
lakini hizi za kwetu hata necta watangaze siku ya kwanza matokeo ni kazi sana kuingia kwenye ukurasa huo...
mwisho naomba tutoe suluhisho nini iwe tiba ya hili??? maana kuomba ajira online ilitakiwa iwe jambo la dakika tano tu ukishakuwa na document zako umeshaziandaa.... lakini hapa ni kama adhabu... unakesha na hufanikuwi
naomba kuwasilisha...