Kama ni kweli basi yanga wwnahusika na utoaji huo wa ruhusa.
Katika Awamu hii kila kitu kinawezekana ili nchi iendelee.Nimesikia katika BBC radio kwamba Tanzania itaruhusu simba kuwindwa kwaajili ya vipusa kama ngozi, kucha nk ili kuingiza fedha ya kigeni.
Mwenye taarifa sahihi na kamili naomba anielimishe.
Hiyo ni kicheko kwa nyumbuNimesikia katika BBC radio kwamba Tanzania itaruhusu simba kuwindwa kwaajili ya vipusa kama ngozi, kucha nk ili kuingiza fedha ya kigeni.
Mwenye taarifa sahihi na kamili naomba anielimishe.
Mikakati ya mzee wa vipensi Mwinyi Zahera sio mchezo!Kama ni kweli basi yanga wwnahusika na utoaji huo wa ruhusa.
Kwenye mbuga ongezeko la nyati na pundamilia litakuwa kubwa sana. Maana hao wanyama wanawindwa na shababi Simba wengine wanapata shida kuwinda hao wanyama ingawa kwa tabu wanajalibuHiyo ni kicheko kwa nyumbu
Kayola! Hili jina Ni maarufu Sana Rukwa, maeneo ya Nankanga,Hili mbona lipo kila msimu wa uwindaji
Awamu hii ndio iliamua hao wanyama wasiuliwe hivyo ndio maana kuna Nyerere national park sasa.Katika Awamu hii kila kitu kinawezekana ili nchi iendelee.