Ni kweli Tanzania imeruhusu uwindaji wa Simba?

Shoctopus

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2015
Messages
2,318
Points
2,000

Shoctopus

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2015
2,318 2,000
Nimesikia katika BBC radio kwamba Tanzania itaruhusu simba kuwindwa kwaajili ya vipusa kama ngozi, kucha nk ili kuingiza fedha ya kigeni.

Mwenye taarifa sahihi na kamili naomba anielimishe.
 

carter

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2009
Messages
3,000
Points
2,000

carter

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2009
3,000 2,000
Katika Awamu hii kila kitu kinawezekana ili nchi iendelee.
Awamu hii ndio iliamua hao wanyama wasiuliwe hivyo ndio maana kuna Nyerere national park sasa.

Kule selous kuna hunting game unaua tu mnyama yoyote ukishalipia. Kasoro Twiga, Tembo na Faru. Na hunting ni biashara ya hasara maana unatunza wanyama ili wawindwe tu kwa raha za wadunguaji huku serikali ikipata mapato kiduchu.
 

Forum statistics

Threads 1,378,988
Members 525,255
Posts 33,730,837
Top