Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,946
- 38,668
Tujadilini mustakabali wa TAIFA tusianze kujadili watu maana tumefika hapa kwa sababu tuliruhusu akili na macho yetu kusoma na kusikiliza mijadala iliyokuwa inajadili watu kabla ya mwaka 2005.
Tuangalie ishus maana kuna mambo kibao ya kuweka sawa kabla hatujaingia ktk chumba cha KURA
Tuangalie ishus maana kuna mambo kibao ya kuweka sawa kabla hatujaingia ktk chumba cha KURA