Ni kweli mke anafata hiki kwa mume?

Ni kweli mke anafata hiki kwa mume?

Yoooooote Yanategemeana Kila Jambo Linamtegemea Jambo Mwenzie. Heeeh. Lugha Nzuri/kauli, Matunzo, Usafi, Mana Kama N Hvo Kuna Mwingne Anataka 6*6 Anakubwekea Kama Mbwa Hata Poz Hakuna. Kumuosha Mpaka Mtengeneze Lig Utaenjoy Kwel, Haya Bas Kwel 6*6 N Tam Hatar Hasa Akiyaweza Lakin Matunzo Hakuna C Utafia Kifuan. So 2naipenda Hyo Ila Ina Viua Vidogovdogo Vinavyoipamba Kwa Ndoa
 
  • Thanks
Reactions: AMB
kwa Wale WAUMINI... Mwanaume aliumbwa kutoka kwa udongo, Ila mwanamke aliumbwa kutoka kwa Ubavu wa Mwanaume... Kwa hio ni lazima arudi alikotoka kabla ya kuirudia ardhi. Jukumu la msingi laweza kuwa kuzaa, kuongezeka na kuijaza nchi. Si ndio

Ndiyoooooo!!!! 6*6 ndiyo mpango mzimaaaa.
 
mhh, labda kwa zamani ila kwa sasa it goes beyond the need of the so called " LIBOLO" wengi siku hizi wanaolewa kwa sababu ya njaa zao na umri kusogea!!! suala la mabolo nadhan hata before kuolewa walikuwa wanabololewa tremendously!!!
 
mhh, labda kwa zamani ila kwa sasa it goes beyond the need of the so called " LIBOLO" wengi siku hizi wanaolewa kwa sababu ya njaa zao na umri kusogea!!! suala la mabolo nadhan hata before kuolewa walikuwa wanabololewa tremendously!!!
Umenisema mimi 100%
 
Za siku wanajukwaa, poleni kwa majukumu.

Leo nakuja na hoja hii, kwa waliohudhuria semina za ndoa makanisani/msikitini na hata kwenye kitchen part na hata beg part, mtakuwa mmekutana na msisitizo huu, kuwa mwanamke anafuta mamboz yaani yale mambo yetu ya 6 kwa 6, lazima tuwashughurikie.

Maana kama ni chakula hata kwao alikuwa anakula, kama ni kitanda cha kulala hata kwao alikuwa nacho kizuri kuzidi hata hicho chako mume. Nimekuwa nikijiuliza ni kweli maana hata akiwa kwao mbona mamboz alikuwa pia anayapata japo ya kuiba wanawake fungukeni, mnafata nini kwa mume.

Ni kweli tunafuata mambo 6x6 hela hata sisi tunatafuta.
 
Back
Top Bottom