Ni kweli mke anafata hiki kwa mume?

Ni kweli mke anafata hiki kwa mume?

Yoooooote Yanategemeana Kila Jambo Linamtegemea Jambo Mwenzie. Heeeh. Lugha Nzuri/kauli, Matunzo, Usafi, Mana Kama N Hvo Kuna Mwingne Anataka 6*6 Anakubwekea Kama Mbwa Hata Poz Hakuna. Kumuosha Mpaka Mtengeneze Lig Utaenjoy Kwel, Haya Bas Kwel 6*6 N Tam Hatar Hasa Akiyaweza Lakin Matunzo Hakuna C Utafia Kifuan. So 2naipenda Hyo Ila Ina Viua Vidogovdogo Vinavyoipamba Kwa Ndoa

sure...
 
Ni kweli mke anafata hiki kwa mume?
mapigani_ya_mke_na_mume.jpg

labda mwanamke wa kikurya.
 
Kwa maana hiyo Mokoyo atawaacha wazazi wake naye ataambatana na ICHANA; tazama wao si wawili tena bali wamekua MWILI mmoja. Those whom God hath joineth together let no man puteth asunder
Na kwa kizungu kuonyesha mchepuko, tatizo wengi mpaka anaingia kwenye ndoa anakua alishapita na watu zaidi ya watatu hata 10, sasa akiingia kwa mtu mwenye kiwango hafifu au kawaida inakuwa shida ku-cope kumbe angeenda nae taratibu ndani ya miezi 6 mtu kiwango kingeongezeka. Ingekuwa huyo huyo mnaekutana nae ndio mkeo au mumeo haya yote yasingekuwepo maana kila mtu angejua hicho ndio kiwango recommended.

Kwenye kula na mambo mengine hatushangaani maana mwingine anakula plate 2 na mwingine 1 na mwingine nusu plate hivyo hivyo na kwenye kugegedana watu wana viwango tofauti kama ilivyo kwenye kula au uwezo wa mwili kwenye shughuli zingine. Kikubwa kuna kiwango cha kawaida ambacho mtu hatakiwi kushuka zaidi na kama miezi 2 au mitatu akivumiliwa kiwango kinapanda
 
Mkuu Jodoki Kalimilo umemaliza kila kitu. Hakika kila asomaye na afahamu.

Last edited by a moderator:
nafata kukufungulia mlango kila siku ukitoka pombeni...:wacko:
 
kwa Wale WAUMINI... Mwanaume aliumbwa kutoka kwa udongo, Ila mwanamke aliumbwa kutoka kwa Ubavu wa Mwanaume... Kwa hio ni lazima arudi alikotoka kabla ya kuirudia ardhi. Jukumu la msingi laweza kuwa kuzaa, kuongezeka na kuijaza nchi. Si ndio

Ndiooo..
 
Back
Top Bottom