Ni kweli mke anafata hiki kwa mume?

Ni kweli mke anafata hiki kwa mume?

kwa Wale WAUMINI... Mwanaume aliumbwa kutoka kwa udongo, Ila mwanamke aliumbwa kutoka kwa Ubavu wa Mwanaume... Kwa hio ni lazima arudi alikotoka kabla ya kuirudia ardhi. Jukumu la msingi laweza kuwa kuzaa, kuongezeka na kuijaza nchi. Si ndio

Well said mkuu
 
Hivi shemejiiii!!! 6*6 ina vitanda vyoote hapa mjini ni sita kwa sita ina maana!!! Hahahahahahahahhaa.. maana kila mtu ni 6*6 wakti wengine hawana, wana mikeka tu au vile vya 3*6 inhiiinhiiihahahahahaa

Yeah, Ndio maana likaitwa TENDO LA NDOA.

Ndiyoooooo!!!! 6*6 ndiyo mpango mzimaaaa.
 
Ni kweli mke anafata hiki kwa mume?
mapigani_ya_mke_na_mume.jpg

Unamaanisha wazazi wake walikua hawampigi.
 
Back
Top Bottom