Ni kweli mama yako mzazi ukimkosea, kwa hasira akavua nguo(kumwaga radhi) mtoto unakuwa kichaa?

Ni kweli mama yako mzazi ukimkosea, kwa hasira akavua nguo(kumwaga radhi) mtoto unakuwa kichaa?

Nikola24

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2024
Posts
598
Reaction score
1,235
Kila mara huwa nagombana na mama kwa sababu hatuendani kitabia. Ana maudhi sana.

Hajui kuongoza familia. Anapenda taarabu tu, matokeo yake amekuwa mtu wa vijembe.

Sasa kuna washkaji wameniomya, kuwa mama yangu akivua nguo mimi nakuwa kichaa hapo hapo.

Eti kweli? Nijibuni swali tu, umri wangu hauwahusu!
 
NDUGU YANGU Nikola24

Kwanza tu kuja kumnyea mama yako hapa unaonesha hauna adabu

Mama akipanda mtoto wapaswa kushuka

Mama nan baba yako so level yako na haupaswi kubishana ane hata kama ni malaya au jambazi kiasi gani.

FANYA HIVI:

TAFUTA RAFIKI WAKE WA KARIBU AU NDUGU, NENDA KAMUOMBE MAMA MSAMAHA NA MNUNULIE DOTI YA KANGA NA UMCHINJIE KONDOO KAMA WAZEE WATAKUAGIZA HIVYO/KUKU.

UKIMALIZA HAPO ACHA KABISA KUBISHANA NAE, MUACHE NA MAISHA YAKE, MUNGU NDIO MHUKUUMU WAKE NA SIO WEWE

Bibi yangu aliwahi mfanyia baba mkubwa hivi na akasema ipo siku mtoto wako atakupiga , baada ya miaka kadhaa baba mkubwa alipigwa na mtoto wake hadi akakimbia kijijini kuja kujificha kwa ndugu
 
Kila mara huwa nagombana na mama kwa sababu hatuendani kitabia.Ana maudhi sana.

Hajui kuongoza familia.Anapenda taarabu tu, matokeo yake amekuwa mtu wa vijembe.

Sasa Kuna washkaji wameniomya ,kuwa mama angu akivua nguo mimi nakuwa kichaa hapo hapo.

Eti kweli? NiJibuni swali tu ,umri wangu hauwahusu!
Mama ni mama tu hata kama ana vijembe. Mheshimu, upate baraka. Ukimkosea, muombe akusamehe. Usisubiri akuvulie nguo, laana inaweza kukupata
Waefeso 6:2-3
Waheshimu baba yako na mama yako,” hii ndio amri ya kwanza yenye ahadi, “upate baraka na uishi siku nyingi duniani.”
 
Kila mara huwa nagombana na mama kwa sababu hatuendani kitabia.Ana maudhi sana.

Hajui kuongoza familia.Anapenda taarabu tu, matokeo yake amekuwa mtu wa vijembe.

Sasa Kuna washkaji wameniomya ,kuwa mama angu akivua nguo mimi nakuwa kichaa hapo hapo.

Eti kweli? NiJibuni swali tu ,umri wangu hauwahusu!
...Bado unakaa na Mama ?... Tuanzie Hapo ..,🙂
 
Laana isiyo na sababu haimpigi mtu.
Huyo aliyevua nguo ndiyo itampata .
Kama wewe utaipata basi umeamua kuipokea.
Mithali 26 : 2

Kama shomoro katika kutanga-tanga kwake, Na kama mbayuwayu katika kuruka kwake; Kadhalika laana isiyo na sababu haimpigi mtu.
For read more download the Bible using this link:
Swahili English Bible - Apps on Google Play
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom