Ni kweli kikwete kaoa binti wa meghji?

ikiwezekana atupe nafasi,ni kweli kamuoa mtoto wa zakia tena yule mwenye asili ya kiarabu na tayari wana mtoto harusi ilifanyika nje ya nchi kisirisri, hizi data nilizipata kutoka kwa bodguard wa karibu wa jk

Hatari...dont disclose your source! :angry:
 
Wewe acha maswali ya udaku huu ni wakati kufikiria maendelea sio nani kamuua nani, mawazo ya kichangu doa hayo.

1. Why dont see/understand that waTZ tunafight haki za kila mTZ?

2. jk kama rais anatoa mfano gani kwa waTZ? Atapataje nguvu za kukemea uovu kama ye jk yuko mstari ya mbele f[!@#$%^^] hapa na pale? Hiyo ndyo sababu yake jk kuwa rais TZ?

3. Maisha bora kwa kila mtanzania itakujaje kama jk/SiSiem anamwaga hela za walipakodi wakati kuna mengi ya maana SiSiem hawatekelezi except "enjoy your life" na vidada?

4. Hakuna ya ukidini hapa - urais. As a president we expect jk to behave in all aspects with honor and discipline, na aweke maendeleo ya wanainchi mbele! He MUST DO SO
 
Inawezekana kweli kwani dini yake ambayo ameamua kuipigania kwa gharama yoyote inamruhusu kuoa hata wake 50.............kwani salma anajua?...angalieni asije akapasuka moyo mkiwataja na mkija na details zote

"Ole wao wanaowazuria uongo majirani zao!!!, kwani hao hawatauona ufalme wa mbinguni", asema bibi. Dini yake inamruhusu kuoa mwisho wanawake wanne tu, hao hamsini ni wako wee.
 
Mbona hakuna anayesema jinsi mnavyowachanganyia watu maji ya maiti kwenye chakula siku ya msiba au arobaini ya marehemu???? Au mnadhani hatujui???? Jiepusheni kunywa uji wa kwenye vifuu vya nazi!!!!!!
 
kama watu walichagua rais handsome mbona akitembeza mshipa mnalaumu wakati mmemchagua wenyewe?!
 
Mbona hakuna anayesema jinsi mnavyowachanganyia watu maji ya maiti kwenye chakula siku ya msiba au arobaini ya marehemu???? Au mnadhani hatujui???? Jiepusheni kunywa uji wa kwenye vifuu vya nazi!!!!!!

mtaipotezea sana. Hii mada tunayo tu
 
Ana waoto Nane (on record)......Salma ana watatu na hana uwezo(kiumri) kumzaa Rizwani...haya fanyeni mahesabu mengine

Safari- Kikwete ana watoto nane, salma kazaa nae watano na mke wake wa kwanza aliyeachana nae kazaa 3, Ridhwan,
salama na Halifa

Hao watano wengine ni wa mama salma, na wakwanza kwa mama salma yupo form VI... ninavyofahamu mimi
 
Mbona hakuna anayesema jinsi mnavyowachanganyia watu maji ya maiti kwenye chakula siku ya msiba au arobaini ya marehemu???? Au mnadhani hatujui???? Jiepusheni kunywa uji wa kwenye vifuu vya nazi!!!!!!

Wewe ni mnafiki, tena ni mchonganishaji sana... tuwekee evidence hapa, sio unaongea pumba tu... nini unaweka udini pasipo hitajika? too bad
 
Wewe ni mnafiki, tena ni mchonganishaji sana... tuwekee evidence hapa, sio unaongea pumba tu... nini unaweka udini pasipo hitajika? too bad
Achaneni na mambo ya udini.. Binadam wote sawa!
Aaa
 
waalimu wa madrasa kwa kulawiti ndo wenyewe ila Malaria Sugu azungumzii ilo, nyie jamaa mnaosalim kwa kupiga vichwa chini mna jazba sana.
 
Mapadre wetu wanatutia aibu, licha ya kubaka wako kadhaa ambao ni mashoga...Mungu tuongoze tuache maovu
 
Sijui kama jibu lilishapatikana hapa

Hapa mod wanaweza kuifungua hii thread:flame::flame::flame::flame:

Swali je Zakia Meghji ndio kilaka cha ZANZIBAR NA TANZANIA
 
Back
Top Bottom