Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 738
Wana jamvi,
Nijuzeni haya:
1. Rais Kikwete ana wake wangapi halali kwa sasa?
2. Ni kweli kaoa mtoto wa Zakia Meghji
3. Ni kweli vile vile kuwa kaoa mke "mnyalukolo" mtoto wa mmiliki wa kiwanda cha maziwa cha ASAS?