DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,311
- 109,525
Kwahiyo mungu wa waarabu yeye hajui kiswahili?...pole yake sana.Ujumbe muhimu kwa waislamu wenzangu na wale wote wanaotaa kufahamu..
Lengo la hii mada si kutaka kujifunza bali ni muendelezo wa yale wanayoyapenda kukashifu uislamu kama mlivyoona comments zao na mleta mada ukichunguza profile yake ni kinara wa sekta hiyo.
Ni vizuri kutambua mada kama hizi ni za kuachana nazo bila kujibu chochote kwani wamefanya swala la dini tu kila mtu anaweza kuwa msemaji bila kuchunguza katumia vifungu vipi na elimu yake kuhusu dini imefika kiwango kipi lakini ikiwa swala la Afya huwezi kukuta kila mtu anatoa ufafanuzi au kuchukua kauli ya mtu yeyote lazima wahakikishe kuwa ni daktari kweli na amesoma hiyo fani.
Ukiapita mbali mada itadoda na lengo lao halitotimia hata ukileta hoja kwa vile wana lengo haitosaidia kitu bali watazidisha kejeli na uzi kuzidi kushika chatiView attachment 2310362
Nafarijika sana ninapoona waislamu wa Jf tumezinduka hatimaye mada kama hizi tunawaachie wenyewe wakashifu na kutukana wanavyoweza View attachment 2310366
Dini za wazungu na waarabu ni za washenzi tu kama washenzi wengine...ndio zimeleta ushoga na ujinga mtupu.HAPANA
Hizi mada si zakuacha bali kuziendeleza na zivume zaidi ikiwezekana ziboreshwe ili wengi waelimike na wajue kweli.
Hao waarabu+wazungu kama waliweza kutukana imani za babu zetu kwa kuita ushenzi basi hata hizi imani zao ni ushenzi mtupu na tutaendelea kuzikashifu na kuzichafua mpaka huyo Mungu wenu ajishushe dunian nae tutamchanganya kwa kipigo.
Ukweli mchungu acha watu wafungue akili zao, sio mnawaaminisha vitisho na upumbavu usiotaka kuhojika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Japo ndugu yangu katika imani ametuasa watu kama nyinyi tuwaache tusiwajibu ila kwa hii kufuru ulioionyesha ngoja twende sambamba tu.. kwenye uislamu hakuna amri iyo ya kuacha kujifunza vitu na lugha nyingine kuna tafsiri na taarjuma za Qurani katika lugha nyingi sana apa duniani uyo mtoa mada kaokoteza vi post uko mtu amepost ambaye hata elimu ya dini hana anakuja kutuwekea apa na kuhusu mwenyezi mungu yeye hana shida ya kutetewa na sisi kwani kila kinachofanyika na kabla akijafanyika ameshakijua yani wewe kumkashifu mwenyezi mungu akupunguzi uhungu wake wala ufalme wake wa apa duniani na mbinguni chunga maneno yake uyo unayemkashifu ndiye ameshikilia riziki yako yeye ndiye anapanga wewe ule nini leo na siyo ww kwa utashi wako niishie apo.HAPANA
Hizi mada si zakuacha bali kuziendeleza na zivume zaidi ikiwezekana ziboreshwe ili wengi waelimike na wajue kweli.
Hao waarabu+wazungu kama waliweza kutukana imani za babu zetu kwa kuita ushenzi basi hata hizi imani zao ni ushenzi mtupu na tutaendelea kuzikashifu na kuzichafua mpaka huyo Mungu wenu ajishushe dunian nae tutamchanganya kwa kipigo.
Ukweli mchungu acha watu wafungue akili zao, sio mnawaaminisha vitisho na upumbavu usiotaka kuhojika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Luka 4:16"Na siku ya sabato Yesu akaingia kwenye sunagogi kama ilivyokua desturi yake akifundisha.Mungu yupi?
Pepo ipi?
Haya maswali ndio yanafanya mtoa mada awe sahihi au sio sahihi!
Ila kwangu mimi lugha haina umuhimu kwa upande wangu kwenda peponi nahitaji kulishika na kulikiri jina YESU KRISTO
Hujamalizia mkuu alivyoingia kwenye sinagogi alisoma Quran baada ya kumaliza kuswali, na wasichokijua Yesu alikuwa anaswali swala 5 na alikuwa na sijdaLuka 4:16"Na siku ya sabato Yesu akaingia kwenye sunagogi kama ilivyokua desturi yake akifundisha.
Sunagogi ni misikiti ya wayahudi.(angalia kamusi ya biblia).
Unayemkiri na kulishika jina lake anaijua Quran nje ndani.
Sent using Jamii Forums mobile app
unajicontradict kijana.Luka 4:16"Na siku ya sabato Yesu akaingia kwenye sunagogi kama ilivyokua desturi yake akifundisha.
Sunagogi ni misikiti ya wayahudi.(angalia kamusi ya biblia).
Unayemkiri na kulishika jina lake anaijua Quran nje ndani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yesu anaijuaje Quran wakati imeshushwa baada ya miaka 600 ...!!Luka 4:16"Na siku ya sabato Yesu akaingia kwenye sunagogi kama ilivyokua desturi yake akifundisha.
Sunagogi ni misikiti ya wayahudi.(angalia kamusi ya biblia).
Unayemkiri na kulishika jina lake anaijua Quran nje ndani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mujibu wa elimu ya kiislamu ni lazima ujue kiarabu hata cha kuzugia ili upate ulinzi.SIO KILA ANAYEJIITA AU ANAYEITWA SHEIKH AU USTADH... Basi ana elimu ya dini ya kiislaam... Kiasi cha kumtegemea kwenye masuala ya dini... Mtapotea tu...
Allaah yeye ndio ameumba kila kitu... Hata hizi lugha tulizo nazo duniani zinatoka kwake... Kwahiyo siku ya Qiyaamah anajua mwenyewe atatumia lugha gani kutuhukumia sote... Na lazima sote tutaifahamu hiyo lugha ipasavyo...
Na peponi hivyo hivyo... Usishangae kutakuwa na lugha nyingine mpya kabisa hata huko peponi... Hashindwi Mola wetu mlezi.
Allaah ni mjuzi zaidi...
Licha ya wayahudi na Yesu pia,,,,,andiko lajipambanua.unajicontradict kijana.
Wayahudi wanasali msikitini, ndio unachomaanisha hapa ?
Ni utumwa na ukoloniAsalaam Aleykhum warahmatullah Wabarakatul....!
Wadau hasa Waislam (Ndugu katika Imaan) naomba kujuzwa kuwa ni kweli Kiarabu ambacho kilitumika katika Quran iliyoshushwa na katika Hadith ndio pekee itatumika Peponi?
Hii ni kwasababu kuna Ustadh mmoja huwa anasisitiza Waislam waache kusoma lugha zingine na badala yake wasome Kiarabu ambacho ni Lugha ya Peponi
Aidha leo katika ukurasa wa Twitter nikaona Mdau mwingine akisisitiza hilo.
View attachment 2310321
Hayo ni mambo ya kidini yanayomhusu Muislaam... Kwa sababu maandiko ya kiislaam yapo katika lugha ya kiarabu... Hivyo... Ili uweze kuyasoma kuyaelewa na kuyatumia... Inakulazimu ujue kiarabu kwanza...Kwa mujibu wa elimu ya kiislamu ni lazima ujue kiarabu hata cha kuzugia ili upate ulinzi.
kwa mfano, ili upate kinga shetani asiingie kwako inabidi ukariri na kusema walau aya mbili za Surah Al Baqarah
Labda pepo la kiarabu, nani alikwambia peponi wana lugha hizi za duniani?Asalaam Aleykhum warahmatullah Wabarakatul....!
Wadau hasa Waislam (Ndugu katika Imaan) naomba kujuzwa kuwa ni kweli Kiarabu ambacho kilitumika katika Quran iliyoshushwa na katika Hadith ndio pekee itatumika Peponi?
Hii ni kwasababu kuna Ustadh mmoja huwa anasisitiza Waislam waache kusoma lugha zingine na badala yake wasome Kiarabu ambacho ni Lugha ya Peponi
Aidha leo katika ukurasa wa Twitter nikaona Mdau mwingine akisisitiza hilo.
View attachment 2310321
Kumbe , unadhani Yesu alikuwa mkinga ?
Synagogue sio msikiti na msikiti sio Synagogue..
Mkuu chuki imetoka wapi !!Hayo ni mambo ya kidini yanayomhusu Muislaam... Kwa sababu maandiko ya kiislaam yapo katika lugha ya kiarabu... Hivyo... Ili uweze kuyasoma kuyaelewa na kuyatumia... Inakulazimu ujue kiarabu kwanza...
Kama ilivyo kwa kiingereza... Ili uweze kufanya biashara na waingereza lazima ujue kiingereza... Kadhalika KICHINA na lugha zinginezo...
Lakini ulivyosema si hivyo mnavyosema juu ya chuki zenu juu ya uislaam tu... Kiarabu ni lugha tu kama lugha zingine...
Bahat nzuri umenukuu Hadi fungu. Lakin yeye hajatuambia tutumie luga yake alotumia kipindi hiki. Yeye kwake tunajifunza kwa lugha yoyote Ile.Luka 4:16"Na siku ya sabato Yesu akaingia kwenye sunagogi kama ilivyokua desturi yake akifundisha.
Sunagogi ni misikiti ya wayahudi.(angalia kamusi ya biblia).
Unayemkiri na kulishika jina lake anaijua Quran nje ndani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu una hoja fikirishi sana.Kwahiyo huyo mungu wa kiarabu hataweza kuwahukumu wenye lugha nyingine maana hata haelewi kama walitenda dhambi au haki maana haelewi lugha zao.