Amepata lazi.rekepisha kwanza sentensi yako hapo juu
Ahahahahahah jamani jf raha. Unamrekebisha na wewe unakosea hapo hapo.
Rekebisha na wewe sentesi yako hapo juu.
Amepata lazi.rekepisha kwanza sentensi yako hapo juu
mh, labda UEFA maana ndio huchezwa Jumanne
Kwa nusu ya muda nilioutumia kwa masomo ya shule ya msingi niligundua jumanne napata viboko vingi kuliko siku nyingine ya wiki, nikawa sihudhurii shule siku hiyo kwa kipindi chote cha shule msingi na upili.
Ahahahahahah jamani jf raha. Unamrekebisha na wewe unakosea hapo hapo.
Rekebisha na wewe sentesi yako hapo juu.
asanteeeeeeeeeee
huo ndio ukweli!Siku zote ni nzuri. cha muhimu jikabidhi kwa Mwenyezi Mungu kabla ya mapambazuko ili kuweza kuitawala siku yako, hata kama shetani na makuhani wake wamekupangia mabaya yatashindikana. Usipofanya hivyo lazima utaoparate ndani ya ratiba ya shetani kwani wewe ukiwa umelala fofofo yeye anakupangia siku yako itakavyokuwa. So, kuwa na hulka ya kuiamuru siku yako na kukabidhi mipango yako kwa Mungu kabla ya mapambazuko, usiamke tu kama chizi.