Ni Kweli Jumanne ni Siku ya "Nuksi"?

Imekuwa ikiniathiri sana siku ya Jumanne kutokana na ukweli kwamba imekuwa siku ya bahabti mbaya kwangu haswa matukio mengi makubwa kunikuta siku ya Jumanne likiwemo la hivi karibuni

Jana nimestushwa sana baada ya kijana niliyemsaidia kuandika CV aliponiambia kwamba amepata lazi lakn ameambiwa asianze leo jumaan hadi kesho kwani si siku nzuri

Nilianzisha mjada palepale na kwa kuwa niko uswahilini nilipata majibu yaliyoungwa mkono sana kwa visa mkasa

Kuna ukweli wowote?

Mkuu umenikumbusha mbali sana....

kipindi nasafiri kusini ilikua kila wakati nasafiri jnne...

nilikutana na mikasa mingi hata kupotelewa begi nakumbuka siku moja gari letu liligonga MTU pale Nangurukulu watu wakaanza kuilaumu Jumanne...

sijui kwanini aisee...
 
yaani kwa tafalkuri tunduizi hupati jibu

Back
Top Bottom