Ni Kweli Jumanne ni Siku ya "Nuksi"?

Jumanne ndio siku ambazo huwa nikpeleka mzigo sokoni napata hasara sana,mara ya mwisho nilipata hasara kubwa kwenye biashara yangu ambayo sitokuja isahau maishani mwangu...ilikua ni jumanne ya pasaka mwaka huu.

asante kwa ushuhuda
 
kuna mama hapa uswazi leo alitaka kuniuzia supu kwa buku nikampa buku 2, kwake anamshukuru Mungu ingawa sjui kama atauza kupita kiasi
YOUR LIKE YOUR CHOICE
images
tuesday_t_shirt-rdb50aec1c3ca42099eec83c7458ca6d7_804gs_324.jpg
 
asante huwa nakabidhi siku zote kwa Mungu
Siku zote ni nzuri. cha muhimu jikabidhi kwa Mwenyezi Mungu kabla ya mapambazuko ili kuweza kuitawala siku yako, hata kama shetani na makuhani wake wamekupangia mabaya yatashindikana. Usipofanya hivyo lazima utaoparate ndani ya ratiba ya shetani kwani wewe ukiwa umelala fofofo yeye anakupangia siku yako itakavyokuwa. So, kuwa na hulka ya kuiamuru siku yako na kukabidhi mipango yako kwa Mungu kabla ya mapambazuko, usiamke tu kama chizi.
 
yasemekANA eti MAPEPO YALIUMBWA jUMANNE NA KWAMBA aLHAMISI NDIO SIKU NZURI
 
Jumanne ndio siku ambazo huwa nikpeleka mzigo sokoni napata hasara sana,mara ya mwisho nilipata hasara kubwa kwenye biashara yangu ambayo sitokuja isahau maishani mwangu...ilikua ni jumanne ya pasaka mwaka huu.

Umeona eenh tena hizi ckukuu za wagalatia ndo zina nuksi sana cjui kwa nini asee
 
tunazimaliza zote sasa, jumapili nwaumini walitwangana moravian

Si umeona ndugu kwamba ninachokisema ni ukweli sasa ibada na ngumi wapi na wapi km sio nuksi na yale makelele wanayopigaga ndo kabsaa
 
[h=1]What is the worst day of the week?[/h]
179c226ee917a579d2a4f2be5820f28164e53a45.jpg


default-user.gif

Answered Most Recently Knightaj0
Tuesday. It isn't the weekend. It isn't the start of the week. It isn't the middle of the week or the end of the week and doesn't have the end of the week in sight. More suicides happen on a Tuesday than any other day. Tuesday sucks.

Monday is the beginning of the week and comes after the weekend break. Mondays you are refreshed. Wednesday is the middle of the week and therefore you are half way to the weekend. Thursday is the day before Friday. Friday is Friday and you gotta get down on it because everybody's looking forward to the weekend (pop culture reference) and Saturday and Sunday are part of the weekend. On Tuesday you just lose.
 
Back
Top Bottom