Ni Kweli Jumanne ni Siku ya "Nuksi"?

Ni Kweli Jumanne ni Siku ya "Nuksi"?

Labda niweke hivi.....

Siku ya jumanne ni kama siku nyingine katika hali ya kawaida ispokuwa kwa wanaofanya mambo ya kishirikina huwa wanazitumia sana siku za jumanne na jumamosi katika kufanya mambo yao kwani kwa itikadi zao ndio siku ambazo ni nzuri katika kufanya mambo yao yafanikiwe.

Kwa mantiki hiyo ndio maana hata wazee wengi ukitaka ushauri kama kuna uwezekano wa kutokufanya mambo yako (hasa kama unaanza jambo jipya) wanakushauri usifanye katika siku hizo.

Kinachotokea sometime intaokea coincidence mtu kila habari mbaya kwake zinaangukia aidha jumanne au jumamosi ndio anaitakidi hivyo.

..hujakosea mkuu ..hapo ni imani tu inatawala
 
Ukiwa mfuasi wa Sheikh Yahya lazima haya utayaamini...hakuna siku ya nuksi katika siku zilizoumbwa na kuonekana zote ni njema
 
Imekuwa ikiniathiri sana siku ya Jumanne kutokana na ukweli kwamba imekuwa siku ya bahabti mbaya kwangu haswa matukio mengi makubwa kunikuta siku ya Jumanne likiwemo la hivi karibuni

Jana nimestushwa sana baada ya kijana niliyemsaidia kuandika CV aliponiambia kwamba amepata lazi lakn ameambiwa asianze leo jumaan hadi kesho kwani si siku nzuri

Nilianzisha mjada palepale na kwa kuwa niko uswahilini nilipata majibu yaliyoungwa mkono sana kwa visa mkasa

Kuna ukweli wowote?
Huko uswahilini kwako ndo watakuelewa ulichoandika.....
 
Tena tunashauriwa tusifanye dili lolote siku ya Ijumaa na hasa muda wa yale makelele yao ya kuitana
Friday is considered unlucky because Jesus was crucified on Friday, but in Greece and the Spanish-speaking world, Tuesday is considered the unluckiest day of the week because the Ottoman Turks conquered Constantinople on a Tuesday (May 29, 1453).
 
Friday is considered unlucky because Jesus was crucified on Friday, but in Greece and the Spanish-speaking world, Tuesday is considered the unluckiest day of the week because the Ottoman Turks conquered Constantinople on a Tuesday (May 29, 1453).

thanks a lot sir
 
Back
Top Bottom