Funguka kijana jf ni Jukwaa huruKabisa Mkuu. Ephraim Chigumbi na Ndugu yake Sabinus Chigumbi, Mathias Lukombe na Dereva Taxi Juma Ndugu. Mwenyezi Awarehemu.
Hapo utakuwa unamzungumzia Abdallah Zombe? Kama ni yeye basi kilichomuokoa ni kukosekana kwa ushahidi wa kimazingira, siku ya tukio yeye hakuwepo kule msituni kwenye kutekeleza mauaji bali alikuwa akitoa order aliyehusika moja kwa moja ni ndugu Christopher BageniKabisa Mkuu. Ephraim Chigumbi na Ndugu yake Sabinus Chigumbi, Mathias Lukombe na Dereva Taxi Juma Ndugu. Mwenyezi Awarehemu.
Unaniangusha Mkuu! Zombe hakuwahi kuhukumiwa kunyongwa mpaka Kufa.Hapo utakuwa unamzungumzia Abdallah Zombe? Kama ni yeye basi kilichomuokoa ni kukosekana kwa ushahidi wa kimazingira, siku ya tukio yeye hakuwepo kule msituni kwenye kutekeleza mauaji bali alikuwa akitoa order aliyehusika moja kwa moja ni ndugu Christopher Bageni
Ndio, aliyehukumiwa ni Bageni yeye alikaa gerezani miaka almost 3 na akaachiwa kutokana na kukosekana ushahidi wa kimazingira na pia kwasababu ya kifo cha ghafla cha shahidi mkuu Koplo Rashidi LemaUnaniangusha Mkuu! Zombe hakuwahi kuhukumiwa kunyongwa mpaka Kufa.
JAYJAY umesikia sasaNdio, aliyehukumiwa ni Bageni yeye alikaa gerezani miaka almost 3 na akaachiwa kutokana na kukosekana ushahidi wa kimazingira na pia kwasababu ya kifo cha ghafla cha shahidi mkuu Koplo Rashidi Lema
Baada ya kuachiwa washitakiwa wote kwa mara ya kwanza serikali ilikata rufaa na ndipo jamaa akakutwa na Hatia na hata alipokata rufaa bado mahakama ya rufaa ilishindilia hukumu ile ile ya kunyongwa mpaka kufa. Hiyo ya kifo cha koplo Lema mahakama iliona haina mashiko. Swali ni kuwa " je jamaa alikata rufaa tena mara ya pili akashinda!?Ndio, aliyehukumiwa ni Bageni yeye alikaa gerezani miaka almost 3 na akaachiwa kutokana na kukosekana ushahidi wa kimazingira na pia kwasababu ya kifo cha ghafla cha shahidi mkuu Koplo Rashidi Lema
Yes kwa Abdallah Zombe ila Kwa Christopher Bageni rufaa ilitupiliwa mbaliBaada ya kuachiwa washitakiwa wote kwa mara ya kwanza serikali ilikata rufaa na ndipo jamaa akakutwa na Hatia na hata alipokata rufaa bado mahakama ya rufaa ilishindilia hukumu ile ile ya kunyongwa mpaka kufa. Hiyo ya kifo cha koplo Lema mahakama iliona haina mashiko. Swali ni kuwa " je jamaa alikata rufaa tena mara ya pili akashinda!?